Mme wa mtu poison

omg...imetokea wapi hii mshana jr?akipona hapo harudii hahaa
 
Kwa hii picha yapasa iwe fundisho kwa baadhi ya dada zetu wajiangalie sana wakiendelea na tabia zao wataangukia pabaya kama huyu dada....
 
Kwa vyovyote vile hii ni jinai na hamna namna yoyote ya kuhalalisha! Naona hii dhana potofu ya kwamba mume/mke wa mtu sumu inawafanya wengi kuunga mkono vitendo vya kijinai kama hivi. Huyo mwanamume ni mtu mzima na aliamua kwa hiari yake kukosa uaminifu kwa mwenzi wake wa ndoa! Yanapotokea mambo ya ukosefu wa uaminifu, tafadhali wekaneni sawa na wenzi wenu ambao ndio mlifunga maagano/kupeana ahadi za uaminifu! Kwenda kumshambulia "third party", sio sahihi!
 
And there goes one of the most sensitive/complicated topic of all times. Kwa mtazamo wangu mie MERCIFUL, kumharibu sura mwanamke mwenzangu kisa uhuni wa shemeji yenu wala sitahangaika. Nitaharibu sura wangapi???
 
Hio ni jinai....mhusika atahukumiwa lakini na yeye ndio kashaharibiwa reception....asingetoka na mume wa mtu yasingemkuta....kinga ni bora kuliko tiba.
 
Hata sijui nimeichota fesibuku nasikia eti alipona lakini ndio hivyo tena kama unavyomuona
kwa hasira ndio nitamuoa kabisaaà na kwa gharama yoyote nitahakikisha naitengeneza upya sura yake. Mimi kutembea nje ya ndoa sio chanzo cha wewe kuwa katili na muuaji, ukatili na uuaji ni hulka ya mtu, wivu Wa mapenzi ni kisingizio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…