Unajua baada ya kuchekwa alipofika koogwe kwenda chooni akaivaa. Kufika chalinze akahisi haja kubwa,akaomba msaada kwenye kichaka, kwenda chooni sihajazoea akavuta shuka zake juu akashusha mzigo bila ya kuvua chupi, kunyanyuka hakuna kitu! Akarudi kwenye gari huku akilalama: ''chalinze ni noma sana, inaiba mpaka kinyesi ya binadamu?'' Abiria kilammoja akishika pua yake, ohoo babayeyooo keshaharibu!!!!!!!!!