Mmarekani mjanja sana, Iran wamekwama wapi?

Mmarekani mjanja sana, Iran wamekwama wapi?

kwanini isiwe Canada ? maana wao ndio wamekufa wengi mle, ndege ilitunguliwa kuua spies , wa kimarekani wenye tiketi na passport za kikanada

spies wamevuna walichokipanda

hukmu ya spies Iran ni kifo, haijalishi kifo cha namna gani

protest kwenye nchi ni kawaida, HonKong na protest yao inakata mwaka sasa ivi, not to mention ya Ufaransa, yellow vest ilidumu kwa takribani miezi 5
Canadians wengi kwenye hiyo ndege wamasemekana kuwa wairani waliobadilisha uraia na kuwa wakanada. Bado Iran kapoteza watu wengi sana, hoja ya kuwa iran anaonekana kupoteza ni ya kweli, na ndio maana watu wa Iran wanashinikiza utawala wao wa juu uachie ngazi.

Admitting that they shot the Ukrainian plane was a deadly mistake.
 
Pamoja na hilo wanatakiwa wajue na muda gani wa kushirikiana na serikali na muda gani wa kuishurutisha serikali.
Sawa kabisa ila na hiyo serekali ijue ni muda gani wa kuua raia zake na ni muda gani wa kufanya makosa huku unawataka hao hao raia wakuunge mkono
 
Russia ina mgogoro wa mda mrefu na jirani yake Ukraine, in fact Ukraine ni rafiki wa kudumu wa nchi za magharibi.

Kitendo cha Iran kuitungua ndege ya Ukraine (unintentionally) huku Iran na Russia zikiwa na strong ties, kutaendeleza wimbi la Russia na Ukraine kuendeleza uhasimu wao mkubwa.
Mleta mada anadai Ukraine ni mshirika wa Russia.
 
Sawa kabisa ila na hiyo serekali ijue ni muda gani wa kuua raia zake na ni muda gani wa kufanya makosa huku unawataka hao hao raia wakuunge mkono
Mkuu hiyo ni ajali kazini. Juzi walikuwa wanaandamana kupinga alichofanya US, serikali ikajaribu kujibumapigo, kwa bahati mbaya likatokea lililotokea. Walitakiwa watulie kwanza. Vinginevyo wanampa US ushindi wa mezani.
 
huna uhakika

ikumbukwe kulikua na wa sweden 10, UK 3, germany 3, wote hao ni allies wa marekani
ukimuua mzungu iyo ni sawa na umemuua 'mmarekani'
Mimi sio inside source, nakuwaje na uhakika. Ni wakanada wangapi waliuawa? Inasemekana wengi wao wana asili ya Iran. Sasa wewe mwenye inside info tueleze.
 
Mtoa mada anaungana na jeshi la polisi la nchi flani kuwa risasi iliyomuua binti flani ilikosea njia na kukata kona 😂.

But join in this topic 👇
 
Hapa ndiyo Waarabu na jamii kama hizo zinapofeli.

Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya watu 176.

Kwanza, Marekani imeua kiongozi muhimu sana wa Iran. Pili, imepindisha kombora lililokiwa lije kupiga kambi zake likaenda kupiga ndege ya abiria ya Ukraine.

Ukitaka kuamini hili, baada ya ndege tu kupigwa washirika wa USA, yaani Uingereza walitoka na madai kuwa ndege hiyo haikupata tatizo la kiufundi badi ilidunguliwa na Iran.

Mwanzoni Iran walikana, mwishowe wakakubali. Sasa jiulize Uingereza walijuaje kuwa Iran ndiyo walioidungua hiyo ndege; jibu ni kuwa wao na USA ndiyo waliopindisha kombora likaenda kupiga ndege ya Ukraine.

Ikumbukwe kuwa Ukraine ni mshirika wa USA na Iran ni mshirika wa Russia. So hapo Marekani atatengeneza tena ugomvi wa Ukraine na Iran. Ukraine watakuja kudai kuwa ni kwanini Iran apige ndege yao na hapo USA watachochea mgogoro.

Sasa Raia wa Iran wanafanya maandamano kuituhumu serikali yao ni kwanini imedungua hiyo ndege. Kosa kubwa walilofanya serikali ya Iran ni kukubali madai ya Uingereza kuwa wao ndio waliodungua kimakosa.

Ni bora wangenyamaza kimya, wakaendekea kukanusha. Sasa hapo USA atapata mwaya wa kuanzisha vikundi vya waasi kupinga serikali yao na kuanza kudhoofisha serikali ya Iran kama ilivyokuwa Syria.

Katika mgogoro huu, USA atakula tatu mzuka. Ameua jenerali wao muhimu, ameanzisha mgogoro kati ya raia na serikali na pia atachochea uhasama kati ya Iran na Ukraine.

Didas Tumaini
ani wabongo bwana umechambua kama mpira sio
so sad
 
huu mida wa kuandika huu ujinga si ungechemsha mihogo uuze ??
 
"I say gentlemen, I do believe we are quite in a spot of bother''
 
Marekani inatia aibu, wamekua wanyonge baada ya kipigo wanaomba mazungumzo bila ya masharti, wanasema wanataka Iran iwe nchi ya kawaida [emoji23]
Screenshot_20200112_213152_com.rt.mobile.english.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isingesaidia chochote kwa sababu inaaminika kwa siku za karibuni Ayatollah anaishi makaburini zaidi kuliko Ikulu na hamwamini mtu yeyote yule baada ya Kassim kudunguliwa kama njiwa pori.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mna majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom