baahh somoo
kusemajesemaje bwana wewe?mwenzio kinpita nkijoki huku mbekenyelabaahh somoo
bhaaa!!! bwana wewe kupenda nchonyo!!! mie kunogwa na madeco...Huyu nae somoo kazidi kunyata mpaka kumwogopa nkewee!
Ndanda line wapo humu?
Mmakonde navyojua kupenda balaa!mkewe alipokwenda kusalimia wakweze yaani wazazi wa mmakonde na kukaa huko kwa muda mrefu, jamaa(chinga) akaandika barua kuwajulia hali wote na aliaanza hivi : Baba chalamu (salaam) mama chalamu nke wangu chikamoo. Du jamaa anjua kupenda.