Mmakonde vs mwizi shambani

Mmakonde vs mwizi shambani

Chal

Senior Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
128
Reaction score
52
Mmakonde kaenda kukagua shamba lake la ndizi,huko akakuta mwizi na furushi la ndizi anataka kukimbia...

Unajua alimwambia nini?

ukichimama nchale,ukikimbia nchale, ukichunguluka nchale, ukichunguncha nchale,ukinyamacha nchale"!chagua moja nnatakaje?
 
Hahahahahahahah lol
Good fun..
Kama ni mimi
natoka nduki.
 
Chacha jamani kila kitu nchale. Kwe!kwe! Kwe! Shukran mkuu kwa chakula ya mawazo hii.
 
Mmakonde kaenda kukagua shamba lake la ndizi,huko akakuta mwizi na furushi la ndizi anataka kukimbia...

Unajua alimwambia nini?

ukichimama nchale,ukikimbia nchale, ukichunguluka nchale, ukichunguncha nchale,ukinyamacha nchale"!chagua moja nnatakaje?

Wamakonde wanalima korosho sio ndizi.. AU ATAKUWA MMAKONDE-MCHAGA WA KISHUMUNDU... Kwi kwi kwi kwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom