Mmakonde aliulizwa na mteja kwanini................

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Mmakonde aliulizwa na mteja: 'Mbona vinyago vyako vizuri, lakini watoto wako wabaya?'
Mmakonde akajibu: 'Vinyago nachonga nchana kweupe, watoto nachonga na nke wangu uchiku kwenye gija totolo, wataacha kuwa wabaya? ? ?
[/h]
 
hahahahahahahahahaha
hahahahahahahahaha
hahahahahahahaha
hahahahahahaha
hahahahahaha
hahahahaha
hahahaha
hahaha
haha
ha
 
Mmakonde aliulizwa na mteja: 'Mbona vinyago vyako vizuri, lakini watoto wako wabaya?'
Mmakonde akajibu: 'Vinyago nachonga nchana kweupe, watoto nachonga na nke wangu uchiku kwenye gija totolo, wataacha kuwa wabaya? ? ?

Hivi Ben Mkapa ni wa wapi mbona handsome yule ana hadi dimples?
 
Mmakonde aliulizwa na mteja: 'Mbona vinyago vyako vizuri, lakini watoto wako wabaya?'
Mmakonde akajibu: 'Vinyago nachonga nchana kweupe, watoto nachonga na nke wangu uchiku kwenye gija totolo, wataacha kuwa wabaya? ? ?
A%20S-confused1.gif

aache usanii mbona hata hao watoto anaweza kutafuta mchana
 
Mmakonde aliulizwa na mteja: 'Mbona vinyago vyako vizuri, lakini watoto wako wabaya?'
Mmakonde akajibu: 'Vinyago nachonga nchana kweupe, watoto nachonga na nke wangu uchiku kwenye gija totolo, wataacha kuwa wabaya? ? ?
daaah mmakonde ni balaa tupu..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom