Kifimboplayer JF-Expert Member Nov 24, 2013 1,542 717 Oct 10, 2014 #2,061 Hiki kipindi cha pili cha mh. Jk ajali zimeongezeka sana Mizizi said: Ajali imetokea leo huko mkoa wa pwani, basi la Deluxe likitokea dodoma, gari limepata burst mpira wa mbele na kupinduka kisha kuwaka moto, abiria more than 30 wamegeuka majivu! Dah inasikitisha sana! Click to expand...
Hiki kipindi cha pili cha mh. Jk ajali zimeongezeka sana Mizizi said: Ajali imetokea leo huko mkoa wa pwani, basi la Deluxe likitokea dodoma, gari limepata burst mpira wa mbele na kupinduka kisha kuwaka moto, abiria more than 30 wamegeuka majivu! Dah inasikitisha sana! Click to expand...