Mlokole wa ukweli

Mlokole wa ukweli

Asante kaka kwa kunisaidia zaidi kumbe niikuwa sijui hapo asante sana bestito
hahahahahaa
ladyfurahia ulokole ni innermost self na mungu wakati mapenzi ni inner most feelings na mpenzi ni vitu viwili tofauti kabisa
kumpata mpenzi mlokole ni kinga tu ya kuogopa kuchapiwa kwakuwa atakuwa na hofu na mungu lakini kwenye ishu za mapenzi hiyo ni idara nyingine kabisa yenye vigezo vingine kabisa
kuna ishu ya ngono itakuwa involved hapo wote tunajua nini hutokea huko vitandani wawili wakiwa uchi..! Hapa hakuna ulokole hapa ni kitu kingine kabisa chenye kuhitaji ufundi kwa ajili ya kupoza tamaa na kuuridhisha mwili kihisia
ulokole unakuja kurejea mwili ukishamaliza kufanya secretion(in whatever language you may describe it )na kuwa katika hali ya utulivu
na ndio maana majuto huja baada ya tendo na si kabla au wakati wa tendo kwakuwa baada ya tendo ndio ile innermost self ya kimungu hurudi kutake over
 
Back
Top Bottom