FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
- Thread starter
-
- #41
Mlokole au msanii huyo...ulokole gani unaosema vunja ndoa ya mtu, halafu ikishavunjika utaozeshwa tena kanisa gani. Kaa chonjo, atakwambia muue mumeo ili ndoa ipitie kanisani ipate baraka za bwana.
Akipiga tena mwambie akajaribu Oscar Award anaweza pata!
King;asti unajua kuna mambo yanatokea katika mazingira ambayo mtu hukutarajiaUmemkopesha! Ungemjibu arudie maombi manake mume anaebip Mungu hawezi kukupatia kamwe manake japo uliolewa enzi hakuna mobile phone, ulishamuwahi Mungu kuwa hutaki wanaobip kwa ttcl. Kuna bibi mmoja akilewa anasemaga bladi fekeni.
Swts naona hajarudia tena sijui atakuwa kwenye maombi ya awamu ya pili?Hakuna kitu kama icho,anasukumwa na hisia,akiongozwa na pepo.Roho wa Mungu,angewapa wote utayari,.Roho wa Mungu,hujenga na habomoi,Roho wa Mungu hakurupuki.
So bwana uyo..AJIPANGE!!
pole my dear ibilisi huyo tena ashindwe....King;asti unajua kuna mambo yanatokea katika mazingira ambayo mtu hukutarajia
Unakuwa umejawa na furaha matra ghafla linaibuka la kushangaza ...kweli hii ni bladi fekeni
Khaaaaaaaaaaa!
Pole FL,
Huyo lzm atakua alilewa sana na usiku huo alikua anaota!
Asitake kukuletea balaa bure kwa my husband wako ebo!!
Ulokole gani wa ivo lol!
acha tu my dear maisha haya mimi baba mimi mama nitapumua wapi mimi? nimeumbwa mateso mimi
acha tu my dear maisha haya mimi baba mimi mama nitapumua wapi mimi? nimeumbwa mateso mimi
Mmh shetani nae ameingia makanisani kutumaliza huu ulokole ni mwisho.pole dadangu
wenyewe wanasubiri kuletewa ....... eti haki sawa ..Haha Smile jamani sio mateso hayo mama
siku hizi hatutaki kusubiri kuletewa tunafight kama wao sasa..
Mwenyewe hapa mkoloni ananitumia ipasavyo hakuna mchezo
Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono: