Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Hatuna dagaa kama hao
Wanaume wa dar mate yanawadondoka
hahahaahhaMtani wangu CHIKIRA MTABARI eti shemeji unampikiaga nguna kama hii pande hizo za Rock City
Ni ukweni?kwakweli ukienda usukuman unaweza staajabu mtu anakula ugali asbh saa 3! tena ugali wa mtama na samaki! alafu wanamega matonge hayooo uwiiii!baada ya dk kumi unamuona mtu anasweat ! hahahahah mie huwa nashindwa jaman! au asbh vinapikwa viazi vitamu vingiiiii na karanga za kukaangwa au kuchemshwa(hapo no chai ya kusindiizia coz kiazi cha moto plus karanga )hahahaha ! ikifika safari ya huko huwa nawaza misosi yakule tu !lol!