Mlo kamili wa mwanaume wa Kanda Ya Ziwa...

Mlo kamili wa mwanaume wa Kanda Ya Ziwa...

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
18951146_1156600737818613_7379488698582062911_n.jpg
 
Usiwahalibie sifa....kanda ya ziwa ni matajir kwa samaki na hizo dagaa...hivyo sidhan kama hiyo picha itawareflect uhalisia wao
 
Uchumi ukishuka mboga huwa nyingi ugali kidogo, uchumi ukipanda mboga kidogo ugali mkubwa.

Hiyo ndio principle ya uchumi
 
kwenye mboga umepunja mkuu. ila kwa nguna nakupa lau 60% mwili haujengwi kwa matofali
 
Na huu ni wa mwanaume wa dar na kaua ka love kidogo mwanaume wa dar anajiskia raha sana
76a3e9610000683511b4b4c284a773bf.jpg
 
kwakweli ukienda usukuman unaweza staajabu mtu anakula ugali asbh saa 3! tena ugali wa mtama na samaki! alafu wanamega matonge hayooo uwiiii!baada ya dk kumi unamuona mtu anasweat ! hahahahah mie huwa nashindwa jaman! au asbh vinapikwa viazi vitamu vingiiiii na karanga za kukaangwa au kuchemshwa(hapo no chai ya kusindiizia coz kiazi cha moto plus karanga )hahahaha ! ikifika safari ya huko huwa nawaza misosi yakule tu !lol!
 
🙂🙂🙂🙂 Mimi jirani yangu huwa anakunywa chai na andazi la kuchora. Ni mwenyeji wa SAME.
Nimetania tu!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kanda ya ziwa huo ubahiri wa mboga hakuna kabisa.
 
Back
Top Bottom