Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Preta afu tumati imekuwa kama dozi kwa vijana wengi wa chugga!! Copy Mungi, Daudi S. Filipo LiverpoolFC, Young Master Mr Rocky.
tumati ndio nini mkuu?
Preta afu tumati imekuwa kama dozi kwa vijana wengi wa chugga!! Copy Mungi, Daudi S. Filipo LiverpoolFC, Young Master Mr Rocky.
.....afu wewe Dina nishakuona wapi vile? Sijawahi kupata DINNER pamoja nawe kweli? Jaribu kufikiri, mwisho nijie kwenye PM.
More than 12 years ago!PakaJimmy na wote mliokuja Tanga mmebaki kwenye mioyo yetu na tumewaaandika na kalamu isiyofutika kamwe.
We hope to see you soon, you are all cute and charming that hamuishi hamu lol
Tunashukuru kwa shukrani na sisi tunawashukuru pia.
Karibuni tena.