Mlipuko wa Malaria sugu Dar es salaam!

Mlipuko wa Malaria sugu Dar es salaam!

Nimemaliza metakeflin ,nimepima leo wamesema wapo waili.

Nimegonga mwarobaini jioni nasikilizia,asubuh nishtue tena.

Mwarobaini, mdalasini na asali pamoja na aloe vera ni dawa nzuri sana kwa afya....vyote hivyo vinafanya kazi vizuri ukinywa na maji ya kutosha unatoka mzima...

Kuna tiba mbadala ambazo ni nzuri na salama jamani..
 
Huu ni ndo msimu wa malaria, mvua zimeacha madimbwi, majani na unyevu unyevu ni hali nzuri kwa mbu kuzaliana kwa wingi. Safisheni mazingira, kata majani, fukia madimbwi ya maji, vifuu au mahali popote yanapotuama maji. Tumia chandarua yenye dawa, pakaa repellants, puliza dawa za kuua mbu.
Pamoja na haya nashangaa watu bado wanatumia dawa kama metakelfin ilipigwa marufuku na fansidar iliishakuwa sugu.
Lakini pia naona watu wanalalamikia dawa mseto hazitibu hili nalo la kuangalia. Na dawa mbadala kama artefan, artequick na artequin ni ghali sana kwa walio wengi na hazitolewi vituo vya serikali.
Hali ya hewa hii pia inaendana na mafua, dengue fever hivyo vyote vina homa kupima ni muhimu.
KINGA NI BORA KULIKO TIBA.

Artequick haipo tena siku hizi........
 
malaria imeuaaa sana....nafikiri wizara ya afya wangefanya famigation kwa kutumia ndege tu wawaue hao mbuu mji mzima
 
malaria imeuaaa sana....nafikiri wizara ya afya wangefanya famigation kwa kutumia ndege tu wawaue hao mbuu mji mzima

Fumigation kwa ndege..??! tena mji mzima.., si utauwa na watu au..?!
 
Fumigation kwa ndege..??! tena mji mzima.., si utauwa na watu au..?!
hafj mtu zambia na botswana wanafanya...ila wanatoaa taarifa watu wasile vitu au mboga zilizopo njw kw muda fulani....famigation kwa ndegw inafanywa
 
Duh hii kweli hasa Tabata nimeishuhudia aisee...Nyumbani kwangu kuna wagonjwa wawili na wikiendi hii nimeenda kwenye kiota (Kwetu Pazuri) kupiga moja mbili naona jamaa zangu wawili wanakunywa maji kisa Dozi ya Malaria.

Malaria Sugu yuko wapi Sikh hizi?
 
Last edited by a moderator:
Yaani mimi sa'hizi ndio natoka hospitali, nimepima nina Malaria+
 
FRANCIS DA DON....mbona kitambo tulishaona gonjwa hili wizara wali delay sana....mpaka yawakute wao na watoto zao ndiyo waanzee ku ongea..ukweli watu wamekufa sana mwezi mmja nyuma
Watu wanadai eti hii ni propaganda ya kumzima tundu lissu.., hahahah..!
 
Watu wanadai eti hii ni propaganda ya kumzima tundu lissu.., hahahah..!
francis da don@....syo kweli mkuu ishu iko tght kitambo kwanza serikali haina uwezo wa ku inject virus hii kwa watu...ili wanyamazishe watu.gonjwa lipo na lmeleta balaa..
 
Pamoja na kwamba Dengue ipo ila inasemekana Spin Doctors wame amplify ili kupotezea masuala nyeti ya kitaifa kwa sasa ... Je? kuna ukweli wowote kuwa hawa mbu walizalishwa pale Muhimbili kama sehemu ya experiment? if yes lengo lao lilikuwa ni kupunguza populations kama watakavyo WHO?...
 
Back
Top Bottom