Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Hapa nilipo nina malaria. Naona huu ugonjwa umelipuka vibaya.
Haina dawa.., uwezekano wa kuua ni mdogo sana.., dawa ni kunywa maji sana na matunda (fluids)hiyo dengue fever dawa yake ni nini na vpi inaweza kuua kwa haraka
Meya wa Ilala anakwambia hawezi kuzuia mvua, hata planning ya kukabukiana na Malaria nayo hana?
Mpe Bwana YESU KIRSTO maisha yako uone malaria itapitia wapi!
Bwana anatosha kwa kila jambo!
Plan zitatoka wapi kama mawazo ya Meya ni kama ya huyu mtu hapa chini?
Kaka tutafutane basii!Kwetu Pazuri ndo Kiwanja bwana!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Thanks mkuu.Nahisi nahitaji kucheck kwa ugonjwa huu.Juzi kati nilikwenda kupima AAR hospital nikaambiwa sina malaria lakini joints zote zinauma pamoja na mgongo!
Inawezekana unadenge wewe.., hao madonna ni wafanya biashara.., sasa ni lazima waseme una malaria..
Mkuu AAR hawaoni Malaria...Mi mwenyewe nilienda AAR ya Mtaa wa Chato wakasema sina malaria kesho yake nikaenda ile ya Posta wakasema hivyo hivyo ilhali ninajiona nina dalili zote za ugonjwa huu.Ikabidi nisogee Madonna huko kwetu Tabata nikakutwa na ring 2 ndo nikaanza dozi.
Hatari yake ni kushusha blood pressure.
Kaka, uyasemayo nakaribia kuyaamini. Hakuna siku hata moja mimi na familia yangu tumewahi kukutwa na malaria kwa hospitali zote za AAR. Ila tukienda Madona tunakutwa na malaria. Nimekuwa nikijiuliza kuna nini hapa bila kupata majibu.

Wakati mwingine nimekuwa nikifikiri labda Madona wako ki-biashara zaidi kwa hiyo wanahakikisha mgonjwa anakutwa na malaria ili waweze kuuza huduma/dawa.
Mzee wa fursa Kaizer, hivi mbu wanauma kuanzia saa ngapi, nimekuja Tabata kusalamia tu ndugu jamani. Hivi wanapenya kwenye Tusker bariidi? Niarifu haraka nifunge virago!
Huu ugonjwa kiboko.samahani ivi dengue inatamkwaje? Maana wengine watamka DENGU, DENGI DENGE napata tabu sana
Inatamkwa deng