Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,741
- 218,332
Sasa huo mlipuko Ni suala la kitaifa?Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .
Mytake , URafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Viongozi kibao wa ccm wameuwawa kibiti Mashinji mpaka kesho yupo kimya. Sembuse kaofisi kamoja tu?Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .
Mytake , URafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
CCM wana mambo mengi ya kufanya bhana!!.... Nyie chadema lazima mumpe pole kada wenu Masha.Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .
Mytake , URafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Haiwahusu mkuuHaijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea .
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu .
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo .
Mytake , URafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja .
Ccm ndiyo fire? Au hiyo ofisi ni ya kisiasa? Acheni upumbavu
Vp mauaji ya viongozi wa ccm na askari kibiti ufipa walitoa pole yyte?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunijulisha mkuuwewe huoni jinsi wapenzi wake walivyofurahi humu toka jana baada ya kusikia ofisi ya imma imeungua. fuatilia mijadala humu utaona
Tanzania ilipofikia ni patamu sana !Mkuu,hapo huwezi kuwasikia
Sitarajii sisiemu kutoa tamko kuhusu tukio hili!
Hujajibu hojaNadhani hili linaweza kuwa andiko lako la kishamba sana tangu uanze kuandika humu .