Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

4 August 2020
Beirut, Lebanon

Massive warehouse explosion rocks Beirut, causing thousands of injuries and widespread damage

At least 3,000 people have been injured and 50 killed. Those numbers are likely to rise with hospitals filling up fast.
Diab said it was "unacceptable" that a shipment of ammonium nitrate estimated at 2,750 tons had been in warehouse for six years without "preventive measures" in place to protect it. The chemical compound, which is commercially available, is used widely in fertilizers and explosives.

It wasn't clear what ignited the shipment, but at least 3,000 people were injured and 50 were killed, Minister of Health Hassan Hamad said at a press conference earlier Tuesday. Those numbers are likely to rise with hospitals filling up fast.

Images and videos on social media appear to show large plumes of smoke and damaged buildings.

Image: Beirut explosion
A helicopter puts out a fire at the scene of the explosion in Beirut. AFP - Getty Images

Read more : Massive warehouse explosion rocks Beirut, causing injuries and widespread damage
 
Sasa hapo ndio muone maajabu ya Mungu wa kweli wa ISRAEL wala israel haijahusika kulipua na hizo material zilizolipuka walikuwa wanaandaa silaha za maangamizI dhidi yaya watu wa Mungu wa kweli wayahudi. Ukitaka mambo yako yasikunyookee kuwa adui wa Israel. Sasa hivi mataifa mengi ya kiislamu yamegundua hili Omani, saudia, UAE, Maroc n.k kwa kichinichini na kujifichajificha kama nikodemu wanampigiaga simu netanyahu. Majuzi tu hapa Somaliland wanataka diplomasia na israel hadi wenzao Mogadishu wakaja juu.

hearly
Kwahiyo mungu wa kweli yupo israel tu hapa bongo hayupo.
Acheni kushikiwa akili watu wanatumia dini kwa maslahi yao wewe endelea kuwaabudu..
 
Hezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie

Aisee katika sala zako za kila sku mshukuru Mungu sana hujui vita, watu wanaishi maisha ya woga sana! bbc wamechambua hio habari video mbali mbali znaonekana watu wakiwa wanatembea mitaani na damu zikimwagika mradi afike tu hospitali mapema, watu wamechanika chanika sana!

Kibaya zaidi corona ni janga kubwa saana kwao na hospitali zmejaa wagonjwa wa corona! baadhi ya hospitali watu wamechafua sakafu za hospitali na damu mshukuru sana Mungu aisee
 
aisee katika sala zako za kila sku mshukuru Mungu sana hujui vita, watu wanaishi maisha ya woga sana! bbc wamechambua hio habari video mbali mbali znaonekana watu wakiwa wanatembea mitaani na damu zikimwagika mradi afike tu hospitali mapema, watu wamechanika chanika sana! kibaya zaidi corona ni janga kubwa saana kwao na hospitali zmejaa wagonjwa wa corona! baadhi ya hospitali watu wamechafua sakafu za hospitali na damu mshukuru sana Mungu aisee
Ajali ya moto Morogoro na mimi hakuniacha salama so nilishazoe
 
we
Naamini ni utunzaji mbovu wa silaha kwenye ghala. Anayesema ni Hezbollah, hawa hawana makazi eneo hili la Beirut wao wako field za nje ya miji uko na juzi hapa Israel imedai wana roketi zimeelekezwa kwao.
Ajari itakuwa ni kutokana na depot ya milipuko maana tumeona rangi za mafataki kwanza kisha mlipuko mkubwa. Kuwepo kwa mushroom cloud na shockwave kunafanya iwepo imani ya some sort of nuclear warhead ndogo sana.

Hata hivyo kuna uwezekano Israel anahusika kwa kujishikiza kwenye uzembe wao. Maana bandari hupokea baadhi ya silaha kutoka Iran kwenda Hezbollah lakini mara nyingi wanatumia mpaka wa Syria ambao hushambukiwa sana na Israel.

Taarifa za awali za serikali zinaonesha ni ajari, ingekuwa shambulizi Hezbollah wangeshajiapiza muda mrefu. Israel hapendi vita hata wiki iliyopita wapiganaji wanne wa Hezbollah waliingia mipakani lakini command ya jeshi ikaomba ruhusa ya kushambulia kwa Netanyahu akakataa ikabidi wawaache watoke. Ukishambulia Hezbollah wanajibu, hii sio Gaza ambako hawana technology ya kujitutumua. Mwaka 2006 kulitokea upinzani mkali dhidi ya Hezb, mwaka 2013 wakati Israel anashambulia Gaza strip walikuwa wanajibu na viroketi vichache. Hezb ina mkono wa Iran, ina engineers, technicians, commando unit, na roketi za masafa ya kati. Ni jeshi lisilo na mamlaka kamili na lisilo rasmi lakini lenye nguvu kuliko jeshi la nchi. Ni kama Iran (walimu wao) ilivyo na IRGC na jeshi la nchi.
kati ya woote waliochangia
weee ndo nimekuelewa
shukran mkuu
 
Waziri mkuu wa israel amejipendekeza kwa hizbullah amemwambia kiongozi wa hezbullah kwamba wapo pamoja kwenye msiba huu
 
Kuna bandiko hapa JF lenye anwani ya UNITS 15: Nusu damu | Nusu Majivu. ilianza kutoka 20200627, kama haujaisoma nakuomba uanze kufuatilia hautajuta Utaelewa kidogokidogo, (Mlipuko wa Lebanon ) msimuliaji ni yuleyule Habibu B. Anga "The Bold"
 
Kuna usemi unasema "huwez wapa mbwa chakula cha watoto"

Tuache kamaa yalivyo..ila hujui chochote kuhusu ulimwengu huu..uko kwenye kund la majority so hata nikikwambia wayahud wana mchango gan kwenye ulimwengu huu .ntakua naku overdose tu.usikumwema
Maneno yakwenye khanga haya kijana nilishayazoea.
 
Lebanon wapumbavu wamewalea mbwa Hezbollah sasa Mbwa wanawafuata hadi Misikitini
Mbona ISRAEL walishindwa kuwamaliza 2006 bila hao giant Hizbullah wale wapuuzi wanetanyahu wangekua wanaua watu tu pale kilaleo.
 
Back
Top Bottom