Huyo ndiye rais wetu wa 2050Mie juzi juzi nimekataa mimba ya msichana.! Ujue wanawake ni wajinga sana sometimes, hivi anakujaje ghetto yupo kwenye ovulation phase alfu unamchapa kwa ndomu anakuambia hayuko kwenye danger then anasema eti alisahau na baadae mnakubaliana ameze dawa ya kuzuia mimba isitokee anaenda kuitupa anakuambia Mie nitazaa tu hakuna shida...
Niimecheka hapo ajaye nyuma yangu haogopi vicaseWanawake bhana wanachekeshaga sana yan........akshakuwa single mom anakuwa muongo wa kufa mtu, mie nlizaa na binti bwana yan nilikoma, sio kwa mizinga hyo!!!! eti mtoto anaumwa kila wiki, mara mtoto wa kindergatten nilpie twishen, mie natumaga tu hela kumbe yote ni hewa...
Kama unadhani kuzaliwa ndani ya ndoa ndio kuwa na baba wa halali pole sana unaweza ukwa umezaliwa ndani ya ndoa na huyo asiwe baba yako halali ukikuwa ndio utajua.
nawe ni miongoni mwa wajinga wanaomiliki vichwa vibovu ambavyo kufikiria vyema hutegemea hali ya hewa...
ni hivi asilimia karibu 85 ya watoto wanaozaliwa ndani ya ndoa ni watoto wa michepuko alafu ulivomjinga unaanzisha uzi ukiwa hujui lolote...
any way subir upepo ugeuze maybe utaweza fikiri vema ukatengua kauli
Bila shaka atakuwa hana simu ndio maana alikuwa anamtuma vitalis Msungwite cha msingi mtafute Vitalis akupeleke kwa dingi yako. Hongera na pole kwa kupata baba ukubwani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nashukuru kwa taarifa,Nisaidie namba ya baba yangu mzazi tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikua utaelewa wala hutohtaj source.Research please, sio unaleta mawazo yako halafu unataka tuamini ndio uhalisia. Tupe source ya hii percentage ulioitoa hapa.
Hahahahah ni yule kaka yake ndie alizaa na mama au hujaambiwa?Namshukuru mama angu hakuwa kicheche asee.! Mie nimezaliwa kopy kabisa ya mzee wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muache kuwatongoza!!Mwamamke kuzalia mtoto nyumbani kwa baba yake ni aibu tupu subiri uolewe ukazalie kwenye mji wako na mume wako.
Hivi huwa mnashindwa wapi? Mbona kutwa kutujazia ma single mom mitaani ugumu upo wapi hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro usiogope maisha oa huyo binti. Ukitaka akimbie piga kitu kila asubuhi kabla ya kuondoka. Ulivyo fala umemkataa huyo hivi sasa unatafuta jimbo jipya.Mie juzi juzi nimekataa mimba ya msichana.! Ujue wanawake ni wajinga sana sometimes, hivi anakujaje ghetto yupo kwenye ovulation phase halafu unamchapa kwa ndomu anakuambia hayuko kwenye danger then anasema eti alisahau na baadae mnakubaliana ameze dawa ya kuzuia mimba isitokee anaenda kuitupa anakuambia Mie nitazaa tu hakuna shida.
Sasa hivi ananilazimisha nianze kuhudumia ukizingatia mie nina majukumu mengi na kazi anajua najiegesha. Sasa juzi juzi alitaka aje home eti akae na mimi nikamwambia Haitatokea.
Kuna wanawake wenye hekima na busara ila kuna kundi la wanawake wasengerema sana hii dunia. Atapambana na hali yake, amjaze hizo sumu huyo mtoto ata amnyweshe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vingine ni kujipa stress tu waheshimu wazazi wako iliupate kuishi maisha marefu duniani basi.Baba halali ni yupi?