Mlioweka Pes UTT Amis kazitoeni haraka sana mnaenda kulia

Scared

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,847
Reaction score
17,503
Kwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ni kuchukua mabilioni ya utt amis hivyo katoeni pesa haraka sana wazee mtakuja kuninikumbuka
 
Sasa kama ni kuchukua si watachukua hata zilizopo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii
 
Kwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ni kuchukua mabilioni ya utt amis hivyo katoeni pesa haraka sana wazee mtakuja kuninikumbuka
wabongo hupuuza hata siri za msingi ngoja liwakute jambo
 
Kwani wanazichukua kuzitaifisha au wanajikopesha mkuu
 
Back
Top Bottom