Mliowai kukimbia kulipa bili mje hapa

DAD'S SON

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
392
466
Wasalaam,

Binadamu ni kiumbe hatari sana na very smart creature kuwai kuumbwa.

Lengo la uzi tuambiane namna gani uliweza kuescape kulipa bill,iwe ilikuwa bar,hotel ama popote pale ila Mwisho wa siku ulifanikiwa kukimbia kulipa bill.

STORY FUPI

Mwanangu mmoja alikuw ni mzee wa totozi sana,ninaposema totoz namaanisha pis kali balaa,mzee wa kupenda watoto wa high class.Kiukweli mwanagu alikuwa anakisimati cha watoto hawa.

Siku moja alipata mtoto mzuri mmoja(ilikuwa j5), akampanga watoke out Mtoto mzuri hakuhesitate wala nini alikubali basi bana mwanangu akapanga siku ya kumeet(jmosi).

Jmos huwa sio mbali kama unadaiwa mkuu ila ni mbali sana km umepanga kumeet na Mtoto mzuri,hamadi siku yenyewe iyo hapo,mwanangu akampeleka mtoto kiwanja kikali sana wakaangiza vinywaji yani ni mwendo pombe za mzamini wa UEFA Heineken.Baad ya dk chache watoto wazuri wengine wakaja Mtoto mzuri alikuwa na mwanangu akawakaribisha na kudai kuwa hawa anaowaona ni rafiki zake(team tia khasara).

kama unavyojua marafiki wa manzi yako ndo mashemeji so unakuwa responsible hasa kwenye mtoko km huo though mwana hakuwa na taarifa nao so ni mwendo wa surprise,basi akacall waiter awasikilize,Mungu wa Yohana ndo Mungu wa Magu wale mabinti wawili wakomba jackdaniels 750ml at that time ilikuwa ni 83900tsh,na mbuzi choma.According to mwana anakwambia alipata electric shock maan mfuko wake usingeweza kuhandle(dude wants bad bitch but can't handle curriculum).Alipiga roughly mzigo ulikuwa unaweigh kweny 200k+ alafu kabeba 90k(though alijitahidi sana).

MBINU YA KUTOROKA

ilikuwa ivii aliomba kwenda chooni akaacha simu yake ya Nokia tochi akabeba smartphone yake akaweka mfukoni uzuri alitoa laini mapema sana time watoto wazuri wakipiga story za hapa na pale,after kufika chooni alijisaidia fresh then akaassess environment akaona inatorokeka vizuri sana,mwanangu akaruka ukuta akatokea upande wa pili uyoo home.
Kiukweli mpk Saivi hatujui wale wadada walilipaje Bill zao na bill ya mwanangu maana nae alivyotoroka hakulipa hata bill ya alivyotumia.

USHAURI

Dada zangu kuna muda muwe na kahuruma juu yetu hasa pale tunapowatoa out msifanye km vita kutukomoa hela zenyewe za boom we unakuja na team yako tena hata hausemi.

Boys na sisi tuwe tunacalculate risk asee unabeba Mtoto mzuri alafu unampeleka kiwanja cha gharama alafu unataka utumie 30k Kweli??,big joke.

Uwanja wenu wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wewe ndiye uliyetoroka bhana, usisingizie wengine...
Ila binafsi, nikishaona team hata salam zao sipokei, nahama kiwanja hata kabla waiter hajaitwa!
... lakini pia hili la team kuja kiwanjani inasababishwa na kwenda viwanja changanyikeni, au unakuta mwanaume anamwambia mwanamke achague kiwanja, hilo ni kosa!
Mwanaume unatakiwa unampeleka sehemu ambayo haijui au hata kama anaijua, basi unaweza kubadilishia gia angani!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakati nipo chuoni Marekani nikaamua kutoka mitaani. Kuna mgahawa mmoja unasifika sana kwa burger, basi nikasema nijichanganye. Nilipofika nikaagiza bila kuuliza bei. Nikapiga burger na juisi flani ya mchanganyiko. Kuleta bill eti USD 65, nikasema hamnijui nyie. Kwakuwa vyoo vipo juu Mimi nikachukua lift nikapanda juu. Pale mezani nikaacha pochi tupu kama geresha. Mimi huyooooooooooo. Ule mtaa sijapitaga tena miaka yangu yote mitatu ya kukaa marekani.
 
umeamua kunipa mzigo dah story ya mzee wangu niliekuwa nakula nae kitabu.

Of course kumwambia Mtoto mzuri ataje kiwanja cha kula bata ni moja ya mistake kubwa sana,utakimbia bill sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nipo chuoni Marekani nikaamua kutoka mitaani. Kuna mgahawa mmoja unasifika sana kwa burger, basi nikasema nijichanganye. Nilipofika nikaagiza bila kuuliza bei. Nikapiga burger na juisi flani ya mchanganyiko. Kuleta bill eti USD 65, nikasema hamnijui nyie. Kwakuwa vyoo vipo juu Mimi nikachukua lift nikapanda juu. Pale mezani nikaacha pochi tupu kama geresha. Mimi huyooooooooooo. Ule mtaa sijapitaga tena miaka yangu yote mitatu ya kukaa marekani.
sister jane alikimbia bill nae.

Hahahaha pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAKUMBUKA KUNA MUVI INAITWA "NIGHT SCHOOL' YA KELVIN HART JAMAA ALITOKA OUT NA KAMPANI YAKE PAMOJA NA DEMU WAKE, BASI PESA HANA IKABIDI ANYOFOE MAVUUUZI KIDOGO AKATIA KIJANJA KWENYE CHAKULA.

Muhudumu kuyatazama kasema hayo mavuuuuzi ni ya black american😁😁😁
 
Kuna bint chuo yeye alikuwa high class alinikula hela saana tupesa twangu twa boom alafu mzigo ñi danadana tùuu. Kuna kipindi alinikopa laki na 20 anashida nkampa.

Uzuri nayeye alikuwa na boom. Ikatokea yeye kipindi flani aliwahi kuwekewa pesa za bòom kabla yangu. Nkampandia hewani nna shida na laki tatu.

Akaingia line akanipa. From there nilimpiga blok na pin kila sehem sijui ujasiri nilitoa wapi lakin ndio hivyo kila akitumia new namba kunitafuta nampa pini.

Shenzy kabisa. Umbwa

komesha korona
 
NAKUMBUKA KUNA MUVI INAITWA "NIGHT SCHOOL' YA KELVIN HART JAMAA ALITOKA OUT NA KAMPANI YAKE PAMOJA NA DEMU WAKE, BASI PESA HANA IKABIDI ANYOFOE MAVUUUZI KIDOGO AKATIA KIJANJA KWENYE CHAKULA.

Muhudumu kuyatazama kasema hayo mavuuuuzi ni ya black american
Alafu wakakutan kwenye night class na muhudumu

Hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDIO MKUU KUMBE UMEICHEKI? WABONGO KOMEDI KAMA ZILE ZIJUI TUNAFELI WAPI
Ohoo vitu vyangu vile.

Bongo wanafeli sana sababu ya capital huwezi kutengeneza movie kali na quality km ile kwa bajeti ya 10m au 50m ni lazima umenyeke haswaa at least 200M unaweza tengeneza mov watu km sisi tukapoteza muda kuiangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom