Mliowahi weka fedha kwenye "Fixed account" naomba mnielimishe hapa

Depreciation ujue shilingi Iko je wekeza kwenye estate
Fixed account since corona na inflation ilipozuka ukiongeza na depreciation of the shilling , ni scam tupu na hasara .
Utakuta value in real money terms ipo pale au imeshuka over that year .
Fixed account mwisho huifaidi bank tu kwa kuwa payout haifactor in depreciation
 
Fanya biashara au nunua asset achana na kufungia pesa kwenye fixed account, pesa zenyewe za madafu zinashuka thamani kila siku
Ushauri mzuri nitaufanyia kazi!Sasa unajua ndugu mtu anaweza akawa na uwezekano wa kupata hata mil 30,tatizo namna ya kuzitumia ili kuzalisha zaidi tulio wengi hatuelewi!Mawazo ya biashara gani mtu afanye,katika mazingira gani,kwa mtaji kiasi gani,kwa kutumia nguvu kazi kiasi gani ndiyo mtihani!Naongea hivi kwa uchungu sana kwa sababu kuna mzee wetu mmoja kapata sh.mil 100 kazini kwake kama malipo ya kuanzia maisha baada ya kustaafu,huwezi amini tumekaa kikao cha familia kumshauri azifanyie nini, ajabu ana watoto wana elimu za PhD wamemshauri aziweke kwenye fixed account ili apewe faida baada ya miezi mitatu mitatu!!!
 
Fixed account since corona na inflation ilipozuka ukiongeza na depreciation of the shilling , ni scam tupu na hasara .
Utakuta value in real money terms ipo pale au imeshuka over that year .
Fixed account mwisho huifaidi bank tu kwa kuwa payout haifactor in depreciation
Sawa ndugu,sasa mtu afanye biashara gani?Au awekeze wapi?Humu ndani kuna watu wametaja kitu kama UTT-AMIS,kama unakijua tunaomba mwongozo wako ndugu,Mimi toka nimezaliwa hicho kitu ndiyo nimekisikia hapa
 
Ushauri mzuri nitaufanyia kazi!Sasa unajua ndugu mtu anaweza akawa na uwezekano wa kupata hata mil 30,tatizo namna ya kuzitumia ili kuzalisha zaidi tulio wengi hatuelewi!Mawazo ya biashara gani mtu afanye,katika mazingira gani,kwa mtaji kiasi gani,kwa kutumia nguvu kazi kiasi gani ndiyo mtihani!Naongea hivi kwa uchungu sana kwa sababu kuna mzee wetu mmoja kapata sh.mil 100 kazini kwake kama malipo ya kuanzia maisha baada ya kustaafu,huwezi amini tumekaa kikao cha familia kumshauri azifanyie nini, ajabu ana watoto wana elimu za PhD wamemshauri aziweke kwenye fixed account ili apewe faida baada ya miezi mitatu mitatu!!!
Ndugu mfungulieni account huyo mzee wenu UTT. Fungueni Bond fund account, Kila mwisho wa mwezi anapata gawio lake na hela yake inabaki vile vile Kama ataihitaji hapo baadae. Naamini unao mtandao Soma zaidi kuhusu UTT kwenye mtandao
 
huwezi amini tumekaa kikao cha familia kumshauri azifanyie nini, ajabu ana watoto wana elimu za PhD wamemshauri aziweke kwenye fixed account ili apewe faida baada ya miezi mitatu mitatu!!!
Wasomi ni waoga sana wa maisha hasa maisha ya kujiajiri na biashara

Maisha ya kuajiriwa yamewafanya wengi wakose uzoefu wa kujiajiri au kufanya biashara.

Kiukweli pesa za kustaafia inapendeza zaidi zikutane na biashara ambayo ilishasimama lakini kuanzia 0 wengi hufa kwa presha

Ndio maana baadhi ya wastaafu wamekimbilia kujenga nyumba za kupangisha (apartment) ili wasiumize vichwa na presha za biashara
 
Asante sana ndugu umeongea mambo mazito na yanayoelimisha!
 
Mliowahi weka fedha zenu kwenye akaunti ya muda maalumu Ninaomba ushauri wenu!

Riba ikoje,kwa kiwango gani na kwa muda gani?Benki ipi ni nzuri!

Naomba ufafanuzi hasa kwenu nyie ambao mlishatumia akaunti hiyo!

Nilijaribu kupita benki kadhaa nilichogundua kila benki inavutia kwake!
Mheshimiwa peleka pesà yako UTT
 
Ndugu mfungulieni account huyo mzee wenu UTT. Fungueni Bond fund account, Kila mwisho wa mwezi anapata gawio lake na hela yake inabaki vile vile Kama ataihitaji hapo baadae. Naamini unao mtandao Soma zaidi kuhusu UTT kwenye mtandao
Namna gani Faida Fund ya watumishi house?Maana nimeaikia kwenye vyombo vya habari wanainadi
 
Back
Top Bottom