kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
Leta uzoefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leta uzoefu
Hahahahaha we jamaa fala sana😂😂😂Mkuu hapo usiachie komaa nae huwa waelewa na wapo vyema sana.. Bora we umepata wengine huku tumepatikana!.. nilienae kabobea kwenye uchawi nimeshazoea fisi ni kama mbuzi tu..😂
😂😂 Mkuu hilo neno lafa likurudieHahahahaha we jamaa fala sana😂😂😂
hahaha yani baada ya kusoma kichwa cha uzi ikanijia picha ya Serena Williams nikacheka sana 🤣🤣🤣😂😂 Mkuu hilo neno lafa likurudie
Sisi wenye vibamia hao ndio huwa tunawakimbia..😂hahaha yani baada ya kusoma kichwa cha uzi ikanijia picha ya Serena Williams nikacheka sana 🤣🤣🤣
habari za asuburi kwanza.Wadau nimepata kamke Kanapenda kucheza mpira yupo vizuri kwenye soka unaweza ukadhani mwanaume japo uzuri wake hujapotea Bado anaonekana ana umbo la kike niliwahi kusikia wadada athlete wana pumzi wanakupelekesha hebu wazoefu naombeni ushauri.
Mkuu...Wewe unadate athlete... Ndo utuambie je nikweli wanapumzi...Wadau nimepata kamke Kanapenda kucheza mpira yupo vizuri kwenye soka unaweza ukadhani mwanaume japo uzuri wake hujapotea Bado anaonekana ana umbo la kike niliwahi kusikia wadada athlete wana pumzi wanakupelekesha hebu wazoefu naombeni ushauri.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...atakuwa yule kibonge... Nahuko kwenye ugali anaokusongea ndo utashangaa TU unatangaza ndoa.Mkuu hapo usiachie komaa nae huwa waelewa na wapo vyema sana.. Bora we umepata wengine huku tumepatikana!.. nilienae kabobea kwenye uchawi nimeshazoea fisi ni kama mbuzi tu..[emoji23]