Mliosomea/mnaosomea India njooni hapa mumshauri huyu

Aende ila hawa jamaa nashangaa tunavyowapa kiburi wakiwa Bongo.
1. Asipende sifa ajue kilichompeleka India.
2. Asipende kuzurura, maana kuna sehemu hawapendi kabisa wa-africa.
3. Asipende mademu kwa kasi, watamzima fasta kwa kusingizia ugomvi wa mapenzi.
4. Mtu akimnyanyapaa kwa rangi yake achukulie pouwa tu.

Sijasomea huko Bali mzazi wangu.
Jiongezee nawewe.

Mademu wa kihindi ama?
 
Sawa, mkuu..akae mbali na watoto wa kike wa kihindi wa GETI isije kuwa Historia...kama angekuwa New Delhi angepata nafasi ya kutembelea GB ROAD atoe uchovu wa Masomo...
Mbona huko ndiyo wanapasema kuwa ni hatari hata zaidi kiusalama kwa waafrika?
 
Nashukuru,kwa hiyo tatizo kubwa ni ubaguzi!!!Asante
yah ubaguzi na kuwa makini na makundi ya watu wengine (wahalifu) kama wanaigeria hata watanzania baadhi waliozamia huko, kimsingi awe makini na afuate kilichompeleka..course yake ya mda gani mkuu..
 
Ni ya miaka miwili.Ni ufadhili
 
Hapana yeye ni wa kiume!Hao wapopo ni watu gani,naomba unifahamishe!!
Wapopo ni wanigeria wanahonga sana madem, so madem wanaoenda kule kwa shule hujisahau na kula Bata na wapopo
 
Duh!Asante kwa ufafanuzi!Nasikia wanigeria ndiyo wamechafua sura ya mwafrika huko India!!
 
Mimi nimeishi huko ,kiukweli karate zimenisaidia sana pamoja na kwa mujibu ujeda ...asikwambie MTU,nimetembeza kipigo heavy sana huko tukaheshimiana.
 
Ni ya miaka miwili.Ni ufadhili
Poa mkuu miaka hiyo si haba..basi poa Dogo akitaka kutoa uchovu basi ajitahidi kutafuta hata demu wa kiafrica hata kwa kuhonga au mchina mana sometimes kuna stress kule au akikosa kabisa acheck hata wahindi wa kununua ACHUJE NAFAKA...kama angekuwa maeneo ya Delhi basi angetembelea GB road pale..lakini anngalie ule UKANDA asije akarudi na KILO MBILI...yangu ni hayo tu mkuu..
 
DU, MAZITO!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom