Mliosomea/mnaosomea India njooni hapa mumshauri huyu

Mliosomea/mnaosomea India njooni hapa mumshauri huyu

Mwambie ajifunze kula biriani, ndo chakula kikuu na nafuu kuliko vyote bangarole. Na ina pilipili nyingi sana na bei ni rupee 60 sawa na 1800/=
 
Aanze mazoezi ya kula chapati na chutney ya pilipili. Pia akiwa huko asipende kwenda club au maeneo ya mikusanyiko ya wahindi akiwa peke yake.
 
Wahindi wa bangarole sio wabaguzi kama wa sehemu zingine sababu wengi ni wahindi weusi ambao hawana ubaguzi
YEYE ANAENDA MANGALORE UNIVERSITY. INAMAANA HICHO CHUO KINAITWA PIA BANGALORE?
 
Mwambie ajifunze kula biriani, ndo chakula kikuu na nafuu kuliko vyote bangarole. Na ina pilipili nyingi sana na bei ni rupee 60 sawa na 1800/=
YEYE AMEANDIKIWA CHUO KIKUU CHA MANGALORE. INA MAANA MANGALORE NDIYO BANGALORE? NAOMBA MNIELIMISHE HAPO!
 
Mangalore na Bangalore ni maeneo mawili tofauti kama ilivyo Dar na Mwanza
YEYE ANAENDA MANGALORE LAKINI NASHANGAA WENGI WANATAJA BANGALORE NDIYO MAANA NIKAULIZA! BASI KWA ANAYEIFAHAMU MANGALORE ATUJUZE!
 
Mtu anakwenda kusomea degree ya pili bado mnataka kumuandaa kisaikolojia kivipi au ndio walewale akina BASHITE!


Hopeless
MBONA NI KITU CHA KAWAIDA!!! HATA MTU ANAYEFUNGA NDOA ANAWEZA ANDALIWA KISAIKOLOJIA!
 
Cha msingi afuate elimu na si vinginevyo.watu wanapotea pale wanapojichanganya.na pia aangalie rafiki wa kwali aogope sana wenzetu wa Nigeria hao .Mara nyingi wamekuwa sio waaminifu.nimesoma huko najua ataweza .Asije kuwa na rafiki wa kihindi Hawa wenzetu hawataki watoto wao kuwa na uhusiano na mwafrika sijajua kwa Nini ila wao wanapenda kuwakaribu na Dada zetu ni hayo tu.afuate elimu Kama kipao mbele chske.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom