- Thread starter
- #41
Nakushukuru sana kwa ushauri!Pia ninaomba uniweke wazi upande wa hao wanaijeria,tatizo ninini?Maana kwa ufafanuzi hapo nimeanza kupata hofu kuwa mdogo wangu hatakuwa na rafiki yeyote maana umegusa wahindi na pia umeelezea kuhusu waafrika ingawa umegusia nchi moja tu Nigeria.Cha msingi afuate elimu na si vinginevyo.watu wanapotea pale wanapojichanganya.na pia aangalie rafiki wa kwali aogope sana wenzetu wa Nigeria hao .Mara nyingi wamekuwa sio waaminifu.nimesoma huko najua ataweza .Asije kuwa na rafiki wa kihindi Hawa wenzetu hawataki watoto wao kuwa na uhusiano na mwafrika sijajua kwa Nini ila wao wanapenda kuwakaribu na Dada zetu ni hayo tu.afuate elimu Kama kipao mbele chske.