Mliosoma umoja sec igunga- mpo?

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Habari magreat thinkers! Jamani kama kuna magreat thinkers waliosoma umoja sec ningependa tujuane humu jamvini.
 
da. unanikumbusha mbali sana aisee. nilipiga mzigo pale nikiganga ganga njaa. kwa hiyo dogo mambo yako fresh eeh. mwalimu wenu bado nasota na maisha magumu. nirushie hata vocha
 
da. unanikumbusha mbali sana aisee. nilipiga mzigo pale nikiganga ganga njaa. kwa hiyo dogo mambo yako fresh eeh. mwalimu wenu bado nasota na maisha magumu. nirushie hata vocha

sasa ticha nani sasa?
 
Oya tupo aise pande za simbo pale kati duu kitambo aise.vp we wa mwaka gani pale?
 
Shule nyingine hata kusoma habari zake humu kwa great thinkers zinatia kichefuchefu!
 
Back
Top Bottom