Mliosoma Tosamaganga Mpo???

Mliosoma Tosamaganga Mpo???

Mkangwa kaniachia alama alinipiga fimbo ya kichwani kwa kumsaidia rafiki yangu mgonjwa sababu alihisi tunachochea vurugu nyingine baada ya watu kuchoma moto majengo, mgomo mkubwa kisa kifo cha Eugine mtoto wa Kalenga mwanafunzi wa o-level day scholar.
NOTE: Nilikuwa A-level.
Mlichoma ofisi ya malezi HP akiwa Allan msola si ndio
 
Half mile...unaweka shati kule, kazi inaendelea.

Sijui hali ipoje sasa. Kweli kuna haja ya kujipanga kusaidia shule zetu.

Hii habari ya kusubiri wabunge wapitishe bajeti tunachelewa sana.
 
Back
Top Bottom