Mliosoma Tosamaganga Mpo???

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Kwa wale mliosoma Tosamaganga Iringa naomba mjitokeze popote pale mlipo ili tuweze kuikumbuka shule yetu na kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kushirikiana na uongozi wa shule yetu ili kuiboresha zaidi na kuhakikisha kuwa inakuwa kati ya shule bora 20 hapa nchini na kuona kuwa inatoa wahitimu bora zaidi.
 
kaka, ahsante tupo.... kipindi kipi wewe? cha Mbanga au cha Mkangwa au Charwe?
 
Kwa wale mliosoma Tosamaganga Iringa naomba mjitokeze popote pale mlipo ili tuweze kuikumbuka shule yetu na kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kushirikiana na uongozi wa shule yetu ili kuiboresha zaidi na kuhakikisha kuwa inakuwa kati ya shule bora 20 hapa nchini na kuona kuwa inatoa wahitimu bora zaidi.

Weka jina lako halisi hapa if your serious
 
Binafsi nilisoma kipindi cha Mpogole (aka Dudu). Napatikana kwa namba 0654 467758. Tuanze kuwasiliana.
 
Tupoooo PULL MUNDU hapa najua wengi wananijua kwa name hilo
 
Mkuu naona wote waliochangia hapo juu wamesoma juzi Tosa, mwenzenu nimesoma pale enzi za Mpogole (Dudu) na maeneo yetu ya kujidai yalikuwa Msombwe, Itamba na mara moja moja Kalenga. Mimi niko Ughaibuni ila mkianzisha akaunti maalum mchango wangu ni wa kufikia tu.
 
Asante sana Mkuu na tunashukuru kwa kujitoa kwako. Nami pia nilisoma enzi za Mpogole (Dudu). Niliingia pale 1984 na kutoka 1986.
Naomba niwaombe wale wote tuliosoma Tosamaganga mnitumie email zenu na simu zenu kwa njia ya SMS ili tuweze kuanzisha mawasiliano ya moja kwa moja na kisha kukubaliana nini cha kufanya kwa ajili ya shule yetu hiyo Kongwe. Simu yangu ni 0654 467758. MUNGU awabariki sana na kazi njema kwenu wote.

Kwa sasa Mwalimu Mkuu wetu pale Tosamaganga anaitwa Ndugu Shulla na email yake ni Shullajj@yahoo.com na simu yake ni 0767-252464. Atashukuru sana kama wadau wa Tosa mkimwandikia email na hata kumpigia simu ili muweze kufahamiana naye na yeye kuwaweka katika Database yake kwa ajili ya Mawasiliano zaidi kwani angependa kuwasiliana nasi sote. Mimi jina langu kamili ni Josephat Simon Sanda (0654 467758)
 
Nilimkuta Mkangwa badae akaondoka pale.Alikuja Charwe(R.I.P),nimemuacha pale 2005.Nilikuwa PCB.
 
Mi nimepita enzi za mkangwa pale,booonge la mtu kofi lake moja kama umedondokewa na roli!!
 
Back
Top Bottom