Mliopo single chukua hii

Apostle kuna ushuhuda hapa.

Nimeshaona matokeo, huyu wangu ni jambazi, maana nimeset CCTV camera, kumbe huwa anakuja na wenzake watatu wanapika Mchele wangu wote, nyama, samaki, maini kwenye friji na anakunywa vinywaji vyangu vyote na majambazi wenzake. Kisha anachukua jezi zangu za Liverpool anavaa na kuondoka nazo.

Sitaacha tena funguo magetoni wala mlango wazi. Kuwa single kuna faida, sitaki demu (By Juma Nature)
 
huyo wako ni mwenyeji ulimkaribisha mwenyewe na hadi funguo unamwachia
Acha uchoyo
 
Kabisa mleta mada, waambie hao wadada wa JF wafungue PM ili tuweze kuwasogelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…