Mliopo na mliowahi kufika Canada mnijuze

Pemba empire

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
466
Reaction score
1,339
Habari zenu wakuu. Poleni na hongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa.
Natazamia kufika Canada tarehe 15 September mwaka huu. Ntafikia city ya London jimbo la Ontario. Mwaka jana nilipambana sana kupata expert entry ili niwe na Permanent Resident but sikupata. Nimebahati kupata admission letter ya chuo flani hapo London master program 1 year program.

Lengo hata siyo kusoma...lengo ni kucheki fursa za kazi..nimekaa china for 3 years now kazi kubwa ni kufundisha na biashara..now i want to change environment na kucheki fursa zingine kidogo.

Vipi mliopo Canada fursa zipoje?...Karibuni wazee tudiscuss chochote about Canada. Mambo yakinishinda ntageuka tena China.
 
Nia yako ni njema lakini ume “volunteer information which can jeopardise” mipango yako ya usoni. Kwa nini uandike kuwa mpango wako sio kusoma? Hiyo ni siri yako.
 
Habari zenu wakuu. Poleni na hongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa.
Natazamia kufika Canada tarehe 15 September mwaka huu. Ntafikia city ya London jimbo la Ontario. Mwaka jana nilipambana sana kupata expert entry ili niwe na Permanent Resident but sikupata. Nimebahati kupata admission letter ya chuo flani hapo London master program 1 year program.

Lengo hata siyo kusoma...lengo ni kucheki fursa za kazi..nimekaa china for 3 years now kazi kubwa ni kufundisha na biashara..now i want to change environment na kucheki fursa zingine kidogo.

Vipi mliopo Canada fursa zipoje?...Karibuni wazee tudiscuss chochote about Canada. Mambo yakinishinda ntageuka tena China.

Kwa sababu una back group ya lugha ya kichina mji unaokufaa ni vancouver
 
Back
Top Bottom