Mliopo kwenye ndoa !!

Challenge mojawapo ni kutofautiana kwa mood za sex,huyu anajisikia Mara huyu hajisikii,wanawake Mara nyingi visingizio kibao Mara tumbo linauna,kesho nimechoka,sijisikii,cha msingi ni uvumilivu tu
Yeah kuvumiliana tuuukwakila hali
 
Wewe huna babu na bibi, baba mama, au shangazi na mjomba wa kuwauliza maswali hayo? Mimi naona hapa utapata majibu mchanganyiko na utaishia kuchanganyikiwa tu.

Vv
 
Unamdanganya mwenzio baada ya wewe mwenyewe kudanganyika.

Baada ya kudanganywa sana na kudanganyika ndio umefikia hitimisho hilo!....ni sawa na kusema, sizitaki mbichi hizi.

Vv
Kunywa maji mwanangu .......
Sio kila unachoona hapa ukichukulie serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…