Mliopo kwenye ndoa mna kazi sana

Mliopo kwenye ndoa mna kazi sana

Kuna limoja lilikua linanipanga ety nihame ninapo kaa tukaishi wote, yani yeye na mume wake tumepanga pamoja. Tofauti kidogo tu anataka kumkimbia mume wake akaishi na mm, nika mute tu mpaka leo tunapishana tu.
Huyo siyo mnyamwezi kweli?
 
Ngoja na mimi nicomment haraka haraka kabla hajaja yule jamaa anayemtag yule Mahondaw kila post.

Aisee kamanda hapo kama ni kuku basi maji ya moto yameshachemshwa ni suala la kukatwa shingo tu na Kutolewa manyoya. Utaelewa hii sentensi kwa siku za usoni
 
Hawana gharama sana kwenye kuwaudumi,
pia hawana usumbufu kama hawa wengine muda wowote wanatimba magetoni bila taaarifa.
Hiyo kibiashara inaitwa invitation to treat Kwa wale wamesoma Digrii za biashara au kusoma SoMo la marketing kwenye fani zao unaona kwenye kioo Cha duka ukiona nje kiatu original Cha Italy kinauzwa bei chee wameweka kinauzwa elfu kumi kukuvutia uingie ndani ukifika ndani wanakuambia stock imeisha lakini tuna viatu kibao vya kufanana na hicho vya bei nafuu

Ndicho hicho mleta mada kakutana nacho anavutwa adake kwenye ullimbo wa buibui halafu aonyeshwe Cha mtema Kuni
Hapo Hilo Malaya linampa invitation to treat akiingia 18 zake limuonyeshe Cha mtema Kuni huyo bwege
 
Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:

"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.

Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"

Uwe unatembea na KY Jelly mkuu ili lolote likitokea iwe rahisi jamaa kuzibua Mortice aka Sphincter.
 
Back
Top Bottom