bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,596
- 3,507
Huu msemo niliusema mbele ya Bi Wazazi walicheka balaaa...Ukitaka kumuona shetani live, funga ndoa.

Napenda ukicheka, napenda zaidi nikiwa chanzo cha kicheko chako 😍Akili zako unazijua mwenyewe. Nimecheka
Yanga 4? HongereniNapenda ukicheka, napenda zaidi nikiwa chanzo cha kicheko chako 😍
FT YANGA 4- 0 CRB
Huamini sioYanga 4? Hongereni
😂 Wala. Hongereni sanaHuamini sio
Adhabu ya dhambi ni mauti.Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:
"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.
Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
Pole sana😂 Wala. Hongereni sana
Siku mkiachana utasikia wewe mwanaume gani, najuta kuwa na mwanaume wa type yako. Sijui tu ilikuwaje nikajikuta nimeingia kwenye mahusiano na wewe, mwanaume gani kwanza una kibamia, halafu siyo romantic, hao binadamu siku ukiwajua hautopata shida, ila kwa sasa endelea kwa kuwa haujafuzu.Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:
"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.
Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
😏😏😏Pole sana
Nipe namba yake nimtokee na miyeBaada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:
"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.
Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
Maneno Yenu Hayo Ya Kumtoa Nyoka PangoniMuongo huyo
Anataka kukuibia
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndo maana Kataa Ndoa nawaunga mkono kabisa. Huu ni upuuzi kabisa.Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:
"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.
Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
We haya[emoji23][emoji23].. Endelea kupangika ukisubiri mzinga wa mwisho wa mwezi huu
Depal kashasema ukweli sisi ni nani hata tumpinge...Muongo huyo
Anataka kukuibia
[emoji23][emoji23][emoji23]