Mliopo kwenye ndoa mna kazi sana

Mliopo kwenye ndoa mna kazi sana

Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:

"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.

Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
Uongo tu,umesoma memes unajifanya ndio wewe umeambiwa🤔
 
Bado hujawajua...
FB_IMG_17084722719612134.jpg
 
Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:

"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.

Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
Umasikini wa AKILI + KIPATO unafanya vijana kuwa masikini zaidi wa KIPATO na AKILI....
 
Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:

"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.

Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
Umeshapigwa na wewe umeingia mzima mzima.

Hivi vijana wa siku hizi mna shida gani vichwani?

Hata malaya husema hivyo hivyo akiwa mbele yako
 
Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:

"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.

Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
LGBTQI mmebadili Mtindo tumewagundua.

Mnanapambana kuonesha kuwa Ndoa hazifai lakini Mtashindwa tu.

Kuna kipindi mlikuja na Thread za Kutifuana matope tukawapopoa sasa mnajificha kuonesha ubaya wa wanawake ili tusioe.

Hatuachi.
 
Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:

"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.

Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"
anaona unampenda sana kuliko mme, amesahau wewe humhudumii , unachowaza ni kumspoil basi......,

wanawake wenye akili wanatambua hilo, kwamba hakuna mtu anaempenda mke wa mtu...... kuhudumia mke sio kazi ndogo,
 
Back
Top Bottom