Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

Hata atae kuoa atamuoa na beki 3 awe anakusaidia
 
At least mkuu umewaelezea HAWA mburulazi kuwa muda ukfikaa mie nitafuata mkondo....kwa Sasa rebeca bado hajambrushia viatu mumble LOLS
Nakueleza wewe kuwa unatimiza neno la wakati LAODIKIA
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Hivi wewe kitanda chako unacholalia, chakula unachokula na nguo unazovaa huwa inakuja naturally kufua kupika na kutandika au huwa unajilazimisha?
Kama vinakuja naturally basi na kufanya ya mumeo itakuja naturally, kama vya kwako huwa unajilazimisha basi na vya mumeo itabidi ujilazimeshe maana hakuna namna nyingine.... Vinginevyo opt u-single mom yaishe.
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
hivi kwa nini mwanamke asubiri kutunzwa, kupewa nahitaji, kuhongwa na kwa nini ajivunie mme.
 
Kila Mwanaume bila kulazimishwa anfanya kazi zote za ndani wakati mkewe akiwa amesafiri au anaumwa. Ila tatizo linakuja pale mwanamke anapokuwa yupo na haumwi ila analeta HAKI ZA BINADAMU kwenya familia (ndoa), ikitokea akaumwa na kulazwa hospitali atatoka huko aje apike, afue, aoshe vyombo halafu arudi kulazwa.
 
Aint you mama ya JLO inawaaribu..!!!sasa kama huyu mzima huwezi kumfanyia haya siku akiwa mlemavu anakunya hapo hapo na kukojoa utaweza kweli??
 

Kuna mtu namfahamu mpaka sasa anaelekea 40, hataki kuolewa kwa sababu tu hataki kufua nguo za mume au kuamka mapema kumuandalia mume breakfast,au kuulizwa ni kwa nini umechelewa kurudi. Hizi sampuli za watu ziko nyingi.
 
Huyu sijui katoka planet gan halafu mbishi anajifanya anaujua uzungu! hapo hata umuulize best couple atakujibu beyonce na jay Z wakati wazazi wake wana miaka 30 ya ndoa!
heri yako wewe dadaangu, siku njema
 
Kitanda tulicholalia sio nilicholalia naomba nikusaishe hapo,of course both of us we are responsible kwa kitanda..?...sijjui huu wito unakujaje Yaani anakuja nyumbani na brief case unampokea mnh kuwa real!!
 
Kuna mtu namfahamu mpaka sasa anaelekea 40, hataki kuolewa kwa sababu tu hataki kufua nguo za mume au kuamka mapema kumuandalia mume breakfast,au kuulizwa ni kwa nini umechelewa kurudi. Hizi sampuli za watu ziko nyingi.
Je, ana watoto/mtoto ? maana umri wa kupata watoto ni miaka 35, vinginevyo, ataongeza idadi ya watoto Yatima. Kama yuko 40 hana mtoto, ina maana atapata mtoto akiwa ni miaka 45, huyo mtoto akikisha 23 wakati anaingia chuo, tayari umri wa mama umeenda. Jaribuni kuwa mnawashauri hao marafiki zenu, poda zinawadanya sana.
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Nikuulize swali binti yangu.
Hivi hizi kazi ulizozitaja, katika ndoa ya wazazi wako mama yako alikuwa anazifanya au lah? Tuanzie hapo.
 
tena wewe ndio wale wanaojilazimisha..hauko real...ndoa yenu imejaa unafilki real Love haiko one sided ndugu
mapenzi hayako one sided, nini hiki naona unashindwa kutetea point yako, kama hayako one sided ndo ujjue kuwa mwanaume anaplay part yake ndo maana hawezi kukuomba hela ya boxer lakini ww had ya ped unaomba
 
Hivi inakuja naturally kumpikia mumeo, kufua nguo zake kutandika kitanda chenu?! Au huwa mnajilazimisha.... :-D:-D :-D

Mie nitafanya hivo vyote mume wangu akiwa disabled, kinyume na hapo sidhani kama nitaweza. [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Basi we Ndoa isikie tu kwa wenzio by the way si watu wote lazima waolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…