Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Naomba nikuoeUkiwa Husband material ni rahisi kupata Wife material.
Usipokuwa Husband Material huwezi pata Wife material mana hakuna kilicho bora kikataka kuchangamana na kibovu.
Naomba nikuoeUkiwa Husband material ni rahisi kupata Wife material.
Usipokuwa Husband Material huwezi pata Wife material mana hakuna kilicho bora kikataka kuchangamana na kibovu.
Ukichagua sana au ukisubiri bikira ndio uoe hautapata na utasubiri sana ..unaweza kufa na utamu wako kiongoziUnaanza kwa nyumba za Ibada kupiga maombi ya nguvu ukiona hailipi unahamia " mlingotini " pande za Tanga na Bagamoyo kwa kufanya " ndumbaism + miziziology ".
Na wewe ni mfanyabiashara Mwenye Maendeleo makubwa???Naomba nikuoe
Hahahahaha mimi ni mkuu mpya tulioteuliwaNa wewe ni mfanyabiashara Mwenye Maendeleo makubwa???
Kama ndiyo sina kipingamizi.
Nyie wa kuwekwa na kutolewa hapana sikutaki.Hahahahaha mimi ni mkuu mpya tulioteuliwa