Mliooa hongereni sana, salute kwenu

Mliooa hongereni sana, salute kwenu

Wewe si ndo muoaji mtarajiwa ? Nielewe mm nishaoa mkuu nazijuwa baadhi ya mbinu.
Sawa umeoa, ila hii ni kanuni ya maisha, unachopanda ni lazima uvune. Hakuna marefu yasio na ncha.. hata uwe na mbinu elfu utashikwa tu mkuu, ni swala la mda tu
 
Na hapa ndip palipo pagumu.. unaweza cheat sana , ila ipo siku utashikwa tu.. hapa penyewe kuna ka pisi toka jana kananisumbua tuonane nako.. na jikifiria baraa la hako ka pisi noma yaani.. ila nakaza moyo sijibu text wala sipokei simu.. ila uchungu ninao pata haupimiki 😀😀
Acha kumvimbia Lucifer, hebu katafune hicho kibanana🤩
 
Sasa wewe kuna siku utakuja na thread ya kulalamuka tuombe Mungu, uta cheat hadi shetani akupishe njia.
Dah! 😃😃😃😃.. yote yawezekana maana sijui kesho yangu. Ila mie niki cheat najua ipo siku nitashikwa.. hili halikwepeki ila nikishikwa nitajua namna ya kuli solve
 
Acha kumvimbia Lucifer, hebu katafune hicho kibanana🤩
Na ndipo panapo elekea huko. Maana baraa la huyo mtoto sio la tanzania hii.. nimejitahidi sana kujibana ila naona naelekea kuchana mkeka 😃😃
 
Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka.

Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa.

Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light, yana show love la hatari, yani yana jari, mengine yananifata nilipo, alafu sasa kila siku naona pisi kali alafu ukigusa nazo hazichomi.

Napata mtihani mzito sana juu hili, ndio maana nimeona niwapongeze mlio vuka hapa. Kinachonipa shida sitaki kuja kula manzi nje ya ndoa ( sina ndoto ya ku cheat ).

Extrovert mrangi anasbo Ezekiel Mbaga Don Juan 😀😀😀
Umri wako tafadhali.
 
Ndio ngapi sasa? Nimekuuliza wewe kama wewe ,sasa baba yangu si alishavuka hiyo stage ya kuoa na wala haijamsumbua.....Umri wako Mkuu please!
Habari za umri achana nazo. Siwezi kukujibu kuhusu umri wangu. Fahamu mie ni mtu mzima, timamu.. ila ukae ukijua wewe ni mdogo wangu.. nimekuwa nasoma comments zako toka ukiwa na harufu ya kumaliza chuo , ukiwa kwenye ligi za GPA.. mie ni mkubwa wako na nimekuacha mbali ki umri..
 
Duuuuh,yaani umeniacha mbali wakati wewe ndio upo kwenye umri wa kutafuta mchumba wakuoa? Mimi natafuta vitukuu na vining'ina kwa sasa!!
 
Ndoto pevu
Kuja kuoa kwa uhakika wakutokutok nje ya nDoa
 
Duuuuh,yaani umeniacha mbali wakati wewe ndio upo kwenye umri wa kutafuta mchumba wakuoa? Mimi natafuta vitukuu na vining'ina kwa sasa!!
😀😀😀😀 kutafuta vitukuu sio sawa na kutafuta GPA.. maisha ni kupanga tu
 
We usicheat sie tutagonga mkeo tunaenda sawa,muda wako wa kilio ukifika utaomba poo,ulete mrejesho tu
 
Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka.

Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa.

Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light, yana show love la hatari, yani yana jari, mengine yananifata nilipo, alafu sasa kila siku naona pisi kali alafu ukigusa nazo hazichomi.

Napata mtihani mzito sana juu hili, ndio maana nimeona niwapongeze mlio vuka hapa. Kinachonipa shida sitaki kuja kula manzi nje ya ndoa ( sina ndoto ya ku cheat ).

Extrovert mrangi anasbo Ezekiel Mbaga Don Juan [emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo hali huwa inatokea sana na ukiona hivyo ujue unaetaka kumuoa ndo mwanamke sahihi. Me nilipofanya maamuzi ya kutaka kuona kina dada walitokea kila kona, wengine mpaka kwenda kwa kiongozi wangu wa church kupeleka ombi la kuolewa na mimi. Oa tu mkuu, hao wengine waone kama mashetwain, utakuja kunishukuru baadae
 
Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka.

Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa.

Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light, yana show love la hatari, yani yana jari, mengine yananifata nilipo, alafu sasa kila siku naona pisi kali alafu ukigusa nazo hazichomi.

Napata mtihani mzito sana juu hili, ndio maana nimeona niwapongeze mlio vuka hapa. Kinachonipa shida sitaki kuja kula manzi nje ya ndoa ( sina ndoto ya ku cheat ).

Extrovert mrangi anasbo Ezekiel Mbaga Don Juan 😀😀😀
Eti huna ndoto ya kucheat😂😂😂 acha kujidanganya mzee unadhan mwanaume kuishi na mwanamke mmoja tuuu miaka na miaka ni jambo rahisi?????? Oa kwanza uone
 
Back
Top Bottom