Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka.
Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa.
Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light, yana show love la hatari, yani yana jari, mengine yananifata nilipo, alafu sasa kila siku naona pisi kali alafu ukigusa nazo hazichomi.
Napata mtihani mzito sana juu hili, ndio maana nimeona niwapongeze mlio vuka hapa. Kinachonipa shida sitaki kuja kula manzi nje ya ndoa ( sina ndoto ya ku cheat ).
Extrovert mrangi anasbo Ezekiel Mbaga Don Juan 😀😀😀