Upo sawa kabisa. Huwa napenda kujifanyia tafiti kwenye mambo tofauti tofauti. Hili jambo limesababisha mvutano wa ndani kwa ndani wa hali ya juu.. na kujifunza mambo mengi sanaMkuu pisi kali sio wanawake wa kuoa hao ni wanawake wa starehe !
Oa huyo uliemkubali,najuwa hujapenda chura tu nakatabia kiasi kamekuvutia.
Achana na hao wengine, kuna nyakati kama hizi utadhani ww ni mzur sana maana wanawake wa kila aina watakuja ,ukishaharibu kwa demu wako huwaoni!
Utapoteza Mali muda na kutumikisha akili visivyo.
Yani simaanishi kwamba ukipevuka akili kwenye suala la kuoa ndio utaoa, hapana.Mkuu ndoa sasa hivi unaona sarakasi zake ? Kuo kuna hitaji kujitoa kaka. Ndio maana hata kuna wazee sasa hivi amabo tuna hisi wamepevuka kiakili wanafanya madudu kwenye ndoa zao. Ndoa inahitaji kujitoa
Amini kwamba.......!Upo sawa kabisa. Huwa napenda kujifanyia tafiti kwenye mambo tofauti tofauti. Hili jambo limesababisha mvutano wa ndani kwa ndani wa hali ya juu.. na kujifunza mambo mengi sana
Huwezi ignore wazo la mwanamke kisa wewe ni mwanaume.. huo ni upum.bavu, hata Ibrahim aliambiwa na Mungu msikilize Sarah mkeo.. Kuna mahala mwanamke anaweza kuona wewe usione sasa kama uta ignore unaoata faida gani ?Ukiona Mwanaume anasema anashawishiwa na Mwanamke aoe ujue hamna kitu hapo, huyo ni mtoto, ...
Huwezi ignore wazo la mwanamke kisa wewe ni mwanaume.. huo ni upum.bavu, hata Ibrahim aliambiwa na Mungu msikilize Sarah mkeo.. Kuna mahala mwanamke anaweza kuona wewe usione sasa kama uta ignore unaoata faida gani ?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] bado hajakuwa huyuAaaarggghhh qmmaaniner eti "sina mpango wa kucheat ndani ya ndoa " endelea hivyo hivyo
Huna la kunifundisha. Kushawishiwa na mwanamke kuingia kwenye ndoa sio makosa. Na kushawishia hai maanishi sio real man. Alafu mie sijachumbiwa mwehu weweMwanaume real hawezi kusubiri Mwanamke amshawishi, Mwanaume real anajua ni lini na wakati gani na Mwanamke yupi amchumbie, ukiona Mwanamke ndo anakuchumbia ujue wewe bado ni mtoto, unaweza kunitafuta nikufundishe jinsi ya kuwa real man na kuongoza na siyo kuongozwa, ...
Oa mwanamke ambaye nafsi yako imeridhia mkuu, ila hakikisha kinachowaunganisha na huyo mwanamke ni upendo...narudia tena Upendo.Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka.
Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa.
Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light, yana show love la hatari, yani yana jari, mengine yananifata nilipo, alafu sasa kila siku naona pisi kali alafu ukigusa nazo hazichomi.
Napata mtihani mzito sana juu hili, ndio maana nimeona niwapongeze mlio vuka hapa. Kinachonipa shida sitaki kuja kula manzi nje ya ndoa ( sina ndoto ya ku cheat ).
Extrovert mrangi anasbo Ezekiel Mbaga Don Juan 😀😀😀
Oa mwanamke ambaye nafsi yako imeridhia mkuu, ila hakikisha kinachowaunganisha na huyo mwanamke ni upendo...narudia tena Upendo.
Kabla ya kufikia huko hakikisha huyo mwanamke anaweza kujitoa kwako full. Sio mjasiriamali ambaye anataka achote tu kwako!
Hao mademu wanaoshoboka huko nje wengi matapeli tu. Wanakujaga kwa ukali ukiwa na demu permanent na wanamjua ila siku ukiwa umeharibu huna pa kupumzikia hutamuona hata mmoja mzee.[emoji16]
Kazi sana aisee.. mgogoro wa ndani ni mkubwa sanaaa.. sehemu moja ya mimi inaonekana ina utulivu kabisa, inaniambia hicho ndio chombo .. sehemu ingine inanikumbushia utamuwa wa pisi za nje na ufundi wao, alafu inaniambia upo tayari kabisa kupoteza hivyo vitu, alafu wanaibuka wanaanza kupanga miadi.. nabaki nashangaa tu 😃😃😃😃..Oa mwanamke ambaye nafsi yako imeridhia mkuu, ila hakikisha kinachowaunganisha na huyo mwanamke ni upendo...narudia tena Upendo.
Kabla ya kufikia huko hakikisha huyo mwanamke anaweza kujitoa kwako full. Sio mjasiriamali ambaye anataka achote tu kwako!
Hao mademu wanaoshoboka huko nje wengi matapeli tu. Wanakujaga kwa ukali ukiwa na demu permanent na wanamjua ila siku ukiwa umeharibu huna pa kupumzikia hutamuona hata mmoja mzee.😁
Huna la kunifundisha. Kushawishiwa na mwanamke kuingia kwenye ndoa sio makosa. Na kushawishia hai maanishi sio real man. Alafu mie sijachumbiwa mwehu wewe
Hao nje utaendelea kupiga tu ukioa. Hakikisha wife asijue lolote. Kama una chombo nunua simu ya matukio uwe unaichimbia kwenye gari tu au unaiacha ofisini.Kazi sana aisee.. mgogoro wa ndani ni mkubwa sanaaa.. sehemu moja ya mimi inaonekana ina utulivu kabisa, inaniambia hicho ndio chombo .. sehemu ingine inanikumbushia utamuwa wa pisi za nje na ufundi wao, alafu inaniambia upo tayari kabisa kupoteza hivyo vitu, alafu wanaibuka wanaanza kupanga miadi.. nabaki nashangaa tu 😃😃😃😃..