[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dahShetan yupo kazin, mm nlienda kwny maombi nikasema staki ujinga nilivyo toka tu madem ambao walikuwa hawajibu msg wakanzaa kunitafuta[emoji3]
Acha kumtisha mkuu, inawezekana kabisa. Mifano ipo ya kutosha, bahati mbaya sana, mema huwa hayavumi kuliko mabaya.Eti huna ndoto ya kucheat[emoji23][emoji23][emoji23] acha kujidanganya mzee unadhan mwanaume kuishi na mwanamke mmoja tuuu miaka na miaka ni jambo rahisi?????? Oa kwanza uone
Mkuu, suala la ku_cheat kwa Mwanaume ni suala la asili (Nature) na halikwepeki, na kimsingi siyo kwamba tuna_cheat, tunakuwa na Mwanamke mwingine kwa ajili ya kuitosheleza haja yetu kuu ya KIASILI ambayo kamwe haitoshelezwi na Mwanamke mmoja.Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka. Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa.
Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light, yana show love la hatari, yani yana jari, mengine yananifata nilipo, alafu sasa kila siku naona pisi kali alafu ukigusa nazo hazichomi.
Napata mtihani mzito sana juu hili, ndio maana nimeona niwapongeze mlio vuka hapa. Kinachonipa shida sitaki kuja kula manzi nje ya ndoa ( sina ndoto ya ku cheat ).
Extrovert mrangi anasbo Ezekiel Mbaga Don Juan [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwanini uoe wakati unajua utaendelea kuzini? Huko kuoa kwako kuna maana gani? Una mficha mke wako kwa faida hasara ya nani?Hao nje utaendelea kupiga tu ukioa. Hakikisha wife asijue lolote. Kama una chombo nunua simu ya matukio uwe unaichimbia kwenye gari tu au unaiacha ofisini.