Mlionunua Receiver za QSAT imekula kwenu.

Mlionunua Receiver za QSAT imekula kwenu.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,335
Reaction score
2,904
Nimepoke sms kutoka kwa mdau Munjy1 ambaye ni msambazaji maarufu wa QSAT hapa nchini. Sms inasema hivi: Taarifa zisizo rasmi kutoka China zinasema kuwa kuanzia sasa QSAT zote hazitafanya kazi na wameacha uzalishaji, hii ni kutokana na DSTV kufunga mtambo mpya, pole sana, mwisho wa kunukuu. Ujanja ujana wa Mchina umepata dawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom