Mlionunua Receiver za QSAT imekula kwenu.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,335
Reaction score
2,904
Nimepoke sms kutoka kwa mdau Munjy1 ambaye ni msambazaji maarufu wa QSAT hapa nchini. Sms inasema hivi: Taarifa zisizo rasmi kutoka China zinasema kuwa kuanzia sasa QSAT zote hazitafanya kazi na wameacha uzalishaji, hii ni kutokana na DSTV kufunga mtambo mpya, pole sana, mwisho wa kunukuu. Ujanja ujana wa Mchina umepata dawa.
 
MKUU shaka ondoa ngoja tuwasubilie soon nao watakuja na dozi ya kuwatafuna dstv najua nawenyewe now wameingia chimbo kutafuta dawa siunajua tana dstv wamefanya hivyo coz kombe la dunia hilooo laja mchina nae hata taka kulaza dam lazima nae afaidi pesa za kombe la dunia bana.
 
Nimepoke sms kutoka kwa mdau Munjy1 ambaye ni msambazaji maarufu wa QSAT hapa nchini. Sms inasema hivi: Taarifa zisizo rasmi kutoka China zinasema kuwa kuanzia sasa QSAT zote hazitafanya kazi na wameacha uzalishaji, hii ni kutokana na DSTV kufunga mtambo mpya(APRIL FOOL), pole sana, mwisho wa kunukuu. Ujanja ujana wa Mchina umepata dawa.
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Siku ya wajinga duniani.
Iliitwa hivyo baada ya Steve April aliyezaliwa April 1,1579 kwenye familia ya kitajiri huko America. Alifany-a biashara zaidi ya 105 kwenye maisha yake yote lakini alibaki masikini. Hiyo ilifanya kila mtu amuite MJINGA. Baadae wakamuita Baba wa Wajinga Duniani. Alikuwa akisoma na kuamini stori za kijinga kama hii uliyoisoma kwenye hiyo meseji.

Halafu hili suala la hizo dudu hupaswi kulijadili hapa katika mtandao wa kijamii.
 
Teh teh teh DSTV wamefunga mtambo mpya unaitwa APRIL FOOL.
 
APRIL FOOL ndo siku ya leo ambayo ndo siku ya WAJINGA DUNIANI wala si mtambo mpya wa D***V uliofungwa kuzuia QSAT zisifanye kazi. Hiyo ni joke ya kukuweka sawa siku ya wajinga duniani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom