Mlionunua Magari kwa kuagiza kutoka Japan tafadhali njooni hapa

Adjustments.JPG


Naombeni wazoefu itachukua tsh ngapi mpaka mkononi
 
Je umeagiza gari nje ya nchi na unahitaji Huduma ya clearance ya gari lako? Na unawaza Agent gani atakutolea bandarini Dar es salaam kwa bei nafuu na haraka? Basi angalia bei zangu za baadhi ya magari (Local) ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. na km aina ya gari lako haipo apa usisite kuniuliza.
1: IST - 750,000/=
2: HARRIER New-900,000
3: HARRIER Old-800,000/
4: RAV 4 - 800,000/=
5: RAUM - 750,000/=
6: SPACIO - 750,000/=
7: PASSO - 750,000/=
8: VITZ - 700,000/=
9: PREMIO - 750,000/=
10: ALTEZA - 750,000/=
11: SUBARU - 750,000/=
12: CARINA - 750,000/=
13:COASTER-1,760,000/=
14: CANTER- 1,300,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no + Registration
----------------------------------------
DM/Piga 0653953900
Company: DN holdings
Location: Nkurumah st
Dar es salaam, Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo 5 regstration na plate namba si inakua imelipiwa kwenye kodi?
 
Back
Top Bottom