Mlionunua Magari kwa kuagiza kutoka Japan tafadhali njooni hapa

Atakuwa anaongelea za Beforward lakini ambazo pia huwa sio nyingi, za Singapore sio za kupeleka gereji.
Mm naongelea from my experience, pale automax gari nyingi wanazileta watu frm singapore but most of them zinakuwa na majanga.Singapore hawana inspection faculity, gari zinakuja bila pre-inspection certificate, gari ikija bongo inapelekwa NIT for inspection...hiyo ndio loophole wanayotumia wauzaj wa magar from singapore kutuletea magari mabovu.
 
Hapo nimekupata Mkuu
 
Unahusisha vipi Registration wakati registration nalipa kwenye kodi ya gari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Root ipo hivi

Kwenye registration unakua umelipia usajili wa gari yako ambapo TRA unapewa card ya gari bure ila wewe unaeagiza gari unakua unamtuma agent akusaidie kufuatilia hiyo card na kukutengenezea no plate ambapo hiyo huduma kwangu mimi nitakucharge 50k au ukiona huitaji utafuatilia mwenyewe tunaipunguza kwenye hesabu na ukifuatilia ww inaweza kukuchukua siku 3 ila agent anachukua siku moja sababu ya uzoefu.

Imani yangu Umenielewa na karibu kwa maswali mengine na karibu tukuhudumie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom