JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Bi mkubwa wewe ni yupi kati ya hawa hapa chini? Ritz namuona kavaa kanzu nyekundu yuko battlefield hahahahahahaha.
Ila binafsi sijapenda dr wake alivyofanya kwani watampa wakati mgumu sana mama mwanasha na faraja sana kwa babu seya.....nafuta hii coment mungu kucha zangu weweeee
View attachment 202868
Ila binafsi sijapenda dr wake alivyofanya kwani watampa wakati mgumu sana mama mwanasha na faraja sana kwa babu seya.....nafuta hii coment mungu kucha zangu weweeee
View attachment 202868
afichae maradhi kifo humuumbua.
Kuhusu kuanguka kwa rais, ulikuwa na uchovu na mchoko wa kufanya kazi bila kupumzika vya kutosha. Hilo lilisemwa au hukulipenda?