Mliomshauri rais mmempotosha

Mliomshauri rais mmempotosha

Umenikumbusha Slaa alivyotiwa kilema cha mkono na Josefina huko Mwanza, akavunga kadondoka chooni, mpaka leo mkono Umelemaa. Ule ni mkong'oto kutoka kwa Josefina.

Hata nyie mnaliaga sana kwenye mambo yetu,so na nyie siku moja muwe mnatupiga. Tehe tehe tehe
 
Kila kitu cha maendeleo katika Tanzania kafanya zaidi ya Marais wote watatu waliomtangulia na hilo halina ubishi.

Ati! Maendeleo ya kumaliza Tembo na kuuza Twiga wetu? Au ya kukwapua pesa za Escrow? Jitahidi mama ukuu wa wilaya unakunyemelea.
 
yataje hayo maendeleo we ajuza

1. Barabara za lami nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
2. Shule za Sekondari nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
3. Wanafunzi wa vyuo vikuu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
5. Waalimu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
6. Huduma ya afya na vifaa vya afya ni bora kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
7. Watanzania wengi wana kazi kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
8. Viwanda ni vingi kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
9. Watalii ni wengi kipindi chake na kipato cha utalii ni kikubwa kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
10. Demokrasia ni bora na watu wana uwezo wa kusema wakipendacho kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
 
Basi wangeanguka wengi! Au alikuwa anafanya kazi ya kubeba magunia mpaka akachoka kiasi hicho? Mkubali tuu kuwa afya yake ni mgogoro na sio jambo la ajabu kwa mwanadamu.
Mzee Slaa alipoanguka bafuni mbona hamkututangazia anaugua nini?
 
Tezi dume siyo busha usidanganye watu ni vitu kama vigololi vilivyo karibu na kibofu kwenye njia ya mkojo ambavyo vikilegea au kuvimba vinafanya upate matatizo ya mkojo na ni ugonjwa unaowapata mara nyingi watu wazima.
 
Tembo wengi wameuawa kuliko awamu zote kabla yake.
Twiga amesafirishwa mzima mzima kwenye ndege kitu ambacho hakijawahi tokea kwenye awamu zote kabla yake.
Biashara ya madawa ya kulevya imeshamiri kwa wingi kuliko awamu zote kabla yake.
Wezi wanaambiwa warudishe walichoiba kisha wanaendelea kupeta mtaani kitu hakijawahi tokea kwenye serikali zote kabla yake.
Deni la taifa limeongezeka kwa kasi ya ajabu kuliko serikali zote kabla yake.
 
Mzee Slaa alipoanguka bafuni mbona hamkututangazia anaugua nini?

Wewe unasema kaanguka bafuni, kuna ajuza mmoja anasema kapigwa. Hebu mkajipange kwanza mje na hoja moja ndipo tutakapoijadili, maana naona Lumumba mnapingana wenyewe kwa wenyewe.
 
Afichae maradhi kifo humuumbua.

Kuhusu kuanguka kwa Rais, ulikuwa na uchovu na mchoko wa kufanya kazi bila kupumzika vya kutosha. Hilo lilisemwa au hukulipenda?
Hata wewe FaizaFoxy ukiumwa Kisonono au kaswende usifiche, Tutangazie na toa namba zako za simu ili tukupe pole zetu.
 
Mzee Slaa alipoanguka bafuni mbona hamkututangazia anaugua nini?

Bafuni ule ni utelezi ambao kila mtu anaweza kuanguka. Hata mie nilishaanguka. Au wewe unaogea choo cha passport size chini udongo pembeni bati ndio maana huwezi elewa tofauti? Ubwege wako huko huko?
Mkuu [MENTION=207338]zumbemkuu na Elli njooni mumuone huyu anaye(k)unya machakani na kushangaa kuteleza kwenye tiles bafuni kwa vile MSALANI kwake ni porini.
 
Last edited by a moderator:
Rais kama binadamu mwingine, kuugua kwake si jambo la ajabu. Tumeshuhudia mara mbili rais akianguka kwenye mikutano ya hadhara ni zaidi ya miaka tisa sasa hata baada ya hapo hatujawahi kitangaziwa ni ugonjwa gani unaomsumbua rais wetu.

Imekuwaje leo, amefanyiwa upasuaji kwenye sehemu za siri za mwili wake ndipo waibuke watu na kuutangazia umma ugonjwa huo? Je hii si kumdhalilisha kiongozi?

Kama nia ilikuwa ni ku-divert attention ya watu toka wizi wa Escrow na kuhamia kujadili rais alikuwa na Tezidume, basi huo mpango umefeli vibaya sana.

Je waliobuni wazo hilo hawakujua kwamba hili suala la Escrow limeshavuka mipaka na kwamba linafuatiliwa na mataifa makubwa sasa na si rahisi kulizima kwa michezo ya kitoto kama huo?

Je imekuwaje rais nae akubali kujitoa kafara ya faragha yake ili kulinda ufedhuli wa Escrow kama hausiki binafsi au mwanafamilia wake?

Hii ni aibu. Rais kwa hili naye inampasa ajipime.

inabidi afe tu!!
 
Hata wewe FaizaFoxy ukiumwa Kisonono au kaswende usifiche, Tutangazie na toa namba zako za simu ili tukupe pole zetu.

Kisonono ni ugonjwa wa mbwa wa kudumu unadhani FF anyosababu ya kutangaza kuwa anao?
 
Kila kitu cha maendeleo katika Tanzania kafanya zaidi ya Marais wote watatu waliomtangulia na hilo halina ubishi.

Ama wewe ni ZeComedy au unaugua Alzheimar au you must be under 18 years!! Bs!
 
Afichae maradhi kifo humuumbua.

Kuhusu kuanguka kwa Rais, ulikuwa na uchovu na mchoko wa kufanya kazi bila kupumzika vya kutosha. Hilo lilisemwa au hukulipenda?
pia kuanguka ni dalili ya awali ya ugonjwa wa tezi dume! chukua hiyo
 
Tezi dume siyo busha usidanganye watu ni vitu kama vigololi vilivyo karibu na kibofu kwenye njia ya mkojo ambavyo vikilegea au kuvimba vinafanya upate matatizo ya mkojo na ni ugonjwa unaowapata mara nyingi watu wazima.
kweli mkuu jina la kitaalam ni prostate gland ambazo huzalisha maji maji ambayo yakiungana na mbegu za kiume hutengeneza semen.
 
mzee mtau naye anamshsuri jk.....
balaaaa
 
1. Barabara za lami nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
2. Shule za Sekondari nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
3. Wanafunzi wa vyuo vikuu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
5. Waalimu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
6. Huduma ya afya na vifaa vya afya ni bora kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
7. Watanzania wengi wana kazi kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
8. Viwanda ni vingi kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
9. Watalii ni wengi kipindi chake na kipato cha utalii ni kikubwa kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
10. Demokrasia ni bora na watu wana uwezo wa kusema wakipendacho kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.

Faizafoxy, kama unalipwa kupotosha tumia akili ktk upotoshaji wako. Takwimu zote ulizoorodhesha hapo juu si kazi ya kikwete bali aliyemtangulia kwa maana moja, kikwete alikuta kila kitu kimepangwa na hela zipo za kutekeleza. Isitoshe takwimu zako zote ni lazima zingetokea hata kama raisi angekuwa Ziro kwani kutokana na ongezeko la watu huwezi linganisha na watu waliokuwapo katika awamu zilizopita. Kuhusu ujenzi wa barabara ni mpuuzi tuu atakayemsifia kuwa kajenga lakini ukweli hakuna kilicofanyika zaidi ya ku repea zilizokuwapo na kuongeza ambazo hazina kiwango. Kuhusu viwanda hakuna raisi aliyejenga viwanda vingi na vyenye kujenga uchumi kama Mwl JKN. Hivi viwanda unavyoona ni vile vya nyerere vinafufuliwa na kubadilishwa matumizi. Mimi binafsi ningemsifu kama angerudisha usafiri wa reli kwani hakuna maendeleo bila reli popote Duniani. Mwaka wake wa 10 unaisha Dar ina brbr za vumbi ni aibu kubwa sana. Labda kazi kubwa anayoijua ni kuongeza wanawake kila kukicha ukiwamo Wewe.
 
Unahororoja bila mpango.
 
Back
Top Bottom