Mliomshauri rais mmempotosha

Mliomshauri rais mmempotosha

Na akichanganya na zake ndio balaa kabisa.
Ni jambo la kutia moyo kwamba kiwango cha maambukizi ya UKIMWI kinashuka mwaka hadi mwaka kutokana na shughuli za Mwenge-Profesa Jakaya Kikwete ( Tabora 2014).Kwa kweli hii signature yako ndo imenifurahisha sana
 
Naam, gharama ziko juu kwa sababu miondo mbinu iliyowekwa kabala ya ujio wa Kikwete ilikuwa mibovu na ya kutumia mafuta mazito ambayo ni gharama. Utakumbuka kuwa Kikwete alipochukuwa madaraka hata umeme wenyewe ulikuwa shida, mgao kila kukicha.

Hayo yte kayafanyia kazi na sasa kuna bomba la gas kubwa linakuja kwenye mitambo mipya ya kutumia gas huko Kinyerezi na hilo ndio suluhisho la gharama kubwa, kuna mitambo mipya inajengwa huko kiwira ya kutumia mkaa wa mawe, nd=adhani unalielewa hilo.

Usiwe na shaka, Kikwete anatimiza zaidi ya Mega watts 4,000 za umeme kwa muda wake, fananisha hizo na mega watt 1,500 zisizofanya kazi ipaswavyo alizozikuta, halafu urudi na useme, nani zaidi?
Mbona umenipa jibu jepesi sana,hivi hudhani kwamba ubadhilifu unaofanywa na viongozi ndo chanzo cha umeme kuwa wa gharama?moja ya watu waliosain na IPTL ni nani?maana anahusika na ujinga huu wa leo
 
Mimi nikiwa mganga wa kienyeji nilishangazwa sana kwa daktari aliyemtangaza Rais wangu kuwa hatakuwa dume tena kwa sababu tezi dume limeondolewa na kubaki na tezi jike. Kutangaza jambo kubwa la namna hii si tu ni aibu lakini pia lilimdhalilisha Rais wangu na kumhurumia mama salma kuhusu maisha yake ya ndoa ya baadae Jambo kama linapotangazwa kuhusu Rais wetu inatakiwa utolewe na ufafanuzi wa kina tezi dume maana yake ni nini na athari na faida zake kwa binadamu kuwa nalo au kulikosa ni nini na si kwa namna mlivyofanya ninyi.

Aiseee! Sina mbavu!
 
Back
Top Bottom