Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,153
Reaction score
137,160
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
 
Watu walimchukulia poa wakiamini kwamba kwa sababu anatoka sisiemu, basi atapeleka mambo kisisiemu kama walivyokuwa wamezoea kulea ufisadi, rushwa kutamalaki n.k badala yake amewasomesha namba mara tu alipokadhiwa fimbo.

Na pia kuna wale wasiofungamana na upande wowote ule wao walidanganywa na maneno matamu ya kisiasa kwamba Magufuli anajua matatizo ya watanzania wote hasa waliomasikini na kizuri zaidi hana deni na mtu tofauti na yule mgombea mwingine, wakaingia kingi na sasa wao ndio wanaisoma namba haswaa mpaka mikopo mavyuoni wanaambiwa hawapewi bila kusomea sayansi.

Ama hakika namba wote tunaisoma tena sanaa...
 
Swali zuri ...hivi kati ya EL na JPM yupi Chadema ilitusaidia kumjua vizuri zaidi? In short Chadema ilifanikiwa sana kumbomoa EL na mwisho kushindwa hadi kupitia chama chao. Labda nikuulize ....hivi unamtemaje Dr Slaa miezi michache kabla ya uchaguzi (ingawa wengine watasema alitoka mwenyewe bila kujua steps). Tumevurugwa na Chadema sana ....kama akili zako zipo sawa unahitaji PHD ya kumuelewa EL ili kumpa kura badala ya JP ambaye humjui kivileee ...
 
Ndo maana kura yangu ilienda kwa yule mama wa ACT.

I just couldn't bring myself to voting for either Magufuli or Lowassa.

And I don't think I'll ever vote for CCM in my lifetime.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Kila kitu ni relative na hivyo uonavyo wewe, lkn wengi wetu tuliomchagua tunaona yuko njia sahihi kabisa na kama akisimama tena ana kura zetu!
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Vipi viongozi wenu wamerudi toka majuu au bado wanatumbua gawio la chama. Wewe unalalamika kuisoma namba wenzio wanatumbua gawio la chama!!
Shughuli ya chama kwa sasa wamemwachia mmiliki/mnunizi wa chama aendelee na chama chake.
 
Labda tujiulize ....hivi mliompigia kura EL ...mliipigia kura Chadema au EL? ....Kama mlipigia chadema ....chadema ni nini? Mbowe? Mliwahi kuhoji kauli za viongozi wenu kabla hamjafanya uchaguzi? K
ama mliichoka CCM ...CCM ni watu ...je mlichoka jina la CCM au watu waliowafikisha hapa? Mliokuwa mkiwapigia debe mnawatenganisha vipi na hili? Tuache siasa tujitambue na kusimamia haki kwa faida ya taifa la kesho.
 
Swali zuri ...hivi kati ya EL na JPM yupi Chadema ilitusaidia kumjua vizuri zaidi? In short Chadema ilifanikiwa sana kumbomoa EL na mwisho kushindwa hadi kupitia chama chao. Labda nikuulize ....hivi unamtemaje Dr Slaa miezi michache kabla ya uchaguzi (ingawa wengine watasema alitoka mwenyewe bila kujua steps). Tumevurugwa na Chadema sana ....kama akili zako zipo sawa unahitaji PHD ya kumuelewa EL ili kumpa kura badala ya JP ambaye humjui kivileee ...
Hahhhaahahaaaaa.....umemjibu vizuri sana huyu ambaye hamjui JPM ni nani kiundani....chadema mtabaki na chadema yenu na Mbowe wenu,na Lowasaaa wenu na Lema wenu, sisi tuacheni na JPM wetu mpenda wanyonge....naipenda CCM hadi naumwaaaaaaaaaaaaaaa
 
KIJANA KAMA INAKUUMA SANA MAGUFULI KUWA RAIS WA NCHI HII.....still bado na utaendelea kuwa na nafasi ya kumfanya uyo umtakae awe RAISI wa NYUMBANI KWAKO NA MOYONI MWAKO...kwa sasa hauwezi badili chochote....MEZEA TU ndio ishakuwa kuandika andika hapa unapoteza muda wako
 
Ngoja niende Butiama kuhiji, kusali, na kumuomba Mungu kwenye kaburi la Baba Wa Taifa. Nikirudi nitaanika uozo wote. Nchi yangu Tanzania imepotoka. Tunakoenda siko.
 
Back
Top Bottom