G
guest-1790917349
Guest
Nasubiri kabla ya tar 29 nimuone tena tesha
Tunasubiri akina Muliro waende jeshini kumkamata Tesha sasa.Tundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.
Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 Lissu yupo jela.
Nakumbuka Kuna Askofu Mmoja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno kwenye mambo ya kisiasa.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Captain Tesha Kwa alichokifanya ni uhaini pure. Uhaini ambao kina Katuga walikuwa wanauchezeachezea na kuupaka matope Sasa umekuja uhaini real kabisa.
Tesha awe mwanajeshi ni hatari Kwa Samia. Lakini Tesha kama sio mwanajeshi ni hatari pia Kwa Samia.
Samia ulituaminisha Tanzania kuna ugaidi kupitia Kwa Mbowe, then ukatuaminisha Tanzania Kuna wahaini kupitia Lissu Sasa uhaini umekuja kweli.
Kula chumba icho
No..Huu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
Achana wakulaneNo..
It could be possible if this would have happened then..
Hili ni tukio jingine na kama ni kesi basi ni kesi nyingine kabisa isiyo na uhusiano wowote na ya TL...
Kumbuka, kesi ya TL mpaka sasa upelelezi ulishakamilika mwanzo mwisho, kesi au makosa yamekuwa established na ushahidi kuwa tabled..
Kuingiza kitu kingine, maana yake wanatakiwa kuiondoa au kuifuta hii ya sasa na kufungua kesi nyingine upya na waiite vyovyote aidha ugaidi au uchochezi na au hata uhaini...
KWA HIYO: Kwa hii, as kufikia hatua ya sasa, ondoa huo wasiwasi, KISHERIA HAITAKUWA HIVYO..!
Samia na genge lake wameshakamatika, wameshavurugana na wanasalitiana wenyewe kwa wenyewe...
Muda si mrefu watageukiana na kuanza kulana na kutafunana wenyewe kwa wenyewe..!