Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,503
- 11,347
- Thread starter
- #21
Not easy Lissu uko aliko yupo anachekašHuu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
Not easy Lissu uko aliko yupo anachekašHuu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
Sure mkuu, Lissu kuwa jera na Chadema kususia Uchaguzi kumechochea Sana instability in the countryUnajua watu wakipewa V8 wakatembelea hayo magari wanajiona wamemaliza kila kitu na kwamba wana akili kuliko wote. Classes ndio chanzo cha midharau.
yupo na wananchiMkuu ukifatilia hii issue utaona kuna watu wakubwa sanaa wapo nyuma ya hii issue....Hii issue ni kubwa sana tena sanaa na hii plan ilishapangwa mda sanaa tena sanaa....Hayupo mwenyewe huyo...
Rais makini asingekubali kuingia kwenye uchaguzi bila muafaka.Sure mkuu, Lissu kuwa jera na Chadema kususia Uchaguzi kumechochea Sana instability in the country
Polepole aliwaambia mtoa lisu gerezani na chadema iluhusiwe kwa masilahi ya nchi wakaziba masikio hawakuelewa sasa maji yameanza kukorogekaSure mkuu, Lissu kuwa jera na Chadema kususia Uchaguzi kumechochea Sana instability in the country
Mpaka sasa Jeshi la Wananchi limegawanyika. Kuna waliopo upande wa Wananchi ambao ni wengi na wapo wachache mno waliopo upande wa Serikali(Sa100)Huu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
Uchunguzi ufanyike kuhusu kifo cha Magufuli na hapo ndipo tutapata uhaini halisiHuu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
Wanajeshi asilimia 99 wapo pamoja na Tesha.Mpaka sasa Jeshi la Wananchi limegawanyika. Kuna waliopo upande wa Wananchi ambao ni wengi na wapo wachache mno waliopo upande wa Serikali(Sa100)
Sasa ukimkamata Captai Tesha au ukimuua, utazidi kuligwa Jeshi Yani itakuwa unazima moto Kwa kutumia Petrol.
Jamaa ataachwa na atadunda tu mjini. Na Nina mashaka huenda hayupo peke yake.
Jamani natamani iwe hivyo unavyowaza jamani labda tunaweza kupata unafuuMpaka sasa Jeshi la Wananchi limegawanyika. Kuna waliopo upande wa Wananchi ambao ni wengi na wapo wachache mno waliopo upande wa Serikali(Sa100)
Sasa ukimkamata Captai Tesha au ukimuua, utazidi kuligwa Jeshi Yani itakuwa unazima moto Kwa kutumia Petrol.
Jamaa ataachwa na atadunda tu mjini. Na Nina mashaka huenda hayupo peke yake.
Huu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
š¤£š¤£Wamunganishe na Mkuu wa Majeshi aliyeandikiwa barua ya uhaini na hakuchukua hatua.
anaacha kwanza Tesha aelewekaHv Polepole mbna yupo kimya sana?
š¤£š¤£Wamunganishe na Mkuu wa Majeshi aliyeandikiwa barua ya uhaini na hakuchukua hatua.
Labda Gwajima hao wengine watakukana mchana kweupe kwamba hawakuwahi kusema hivyo hata km Padri wao waliwahi kumpiga na kitu butu kichwani na wakasema alikua amelewa katika harakati za kugombea demu wa pale alipokua akinywa, mfano mdogo ile barua iliyotembea wameikana kua sio wao walioandika kwa hio hawataki kupakaziwapakaziwa mambo ya kisiasaNakumbuka Kuna Askofu Mmoja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno kwenye mambo ya kisiasa.
Polepole Effects na nguvu ya mitandao.You have read my mind. Huwez kupanga point namna ile.it took much time of a rehearsal. Umekaa umeandika tamko umepima mambo ume explore all outcomes. Why select this time?
Hata mm nimejiuliza hili swali na kuwa na mashaka.Hv Polepole mbna yupo kimya sana?
Ukipingana na onyo kinachofuata ni vitendo bila ya onyo ...asilimia 98 ya wanajeshi awamkubali samia ...asilimia 75 ya wana ccm awamkubali samia na asilimia 90 ya watanzania wamkubali samiaKwanini umewaza hivyo