😂😂😂 Kwahiyo huwezi kosa wa kumlilia au sio!??Utalilia jamiiforums mkuu
Wakati mgumu gani wakati ameshazaa nae watoto wawili na kama mtu hakumcheat unatetemeka bure mbona wanaume na sisi tunaficha watotoSame scenario happened to me...I decided to breakup.
Wengi watashauri akomae kulea familia,but,believe me..jamaa anapitia wakati mgumu sana.
Jamaa anajua nn chakufanya.